Tanzania: The Sleeping Giant

Naunga mkono hoja, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana tuu, ila...
p
Ila kuna mambo mawili tunapungukiwa.
Tulipopata uhuru tulisema ili tuendelee tunahita:
1. Watu - watu tunao
2. Aridhi - tunayo nzuri na natural resources za kutosha.
3. Siasa safi - ujamaa ulituchelewesha kiasi fulani kwa watu binafsi kujiletea maendeleo!
4. Uongozi bora - kuna nyakati tumekuwa na bora uongozi!
Hayo mambo mawili ya mwisho ndiyo changamoto kwetu.
 
true, true
P.
 
Korea Kusini, Taiwan, Austria, Ireland, Sweden, n.k., wana u'giant' gani?

Mada hizi za ajabu ajabu zinaumiza kichwa kwelikweli.

Huhitaji u'giant' wowote mwingine zaidi ya ule uliomo vichwani mwa viongozi tunaowaweka madarakani watuongoze.

Inaudhi sana kila mara kusoma habari za majigambo ya u'giant', huku vichwani ni kama sote tumepungukiwa na vitu muhimu vya kuutumia huo u'giant'!

Sikuisoma mada yako, humo ndani.
Sana sana ni kama unafanya mazoezi ya uandishi wa nsha kwa kutumia lugha hiyo uliyotumia hapa.
 
After reading what looks like a "Heading" to your write up and responding as I did in my last response, something kept nagging me to have a more appropriate response than the one provided earlier.

So, I quickly skimped through the long essay to give me a picture of what exactly you consider to be attributes that make Tanzania the "proverbial giant that never awakens." from its long slumber.

I have a very simple answer to your and all those who keep on dreaming of a "giant" who is never existent.

My answer is this: Place South Korea on one side of the equation and Tanzania on the other side. Start analysing and evaluating all aspects of attributes possessed by each of the two countries in whatever category you like, and then come up with the answer on what makes the two countries different. Tell me which country is a true giant in every aspect of the word.

Now, in case you did not know, South Korea had merely emerged from a devastating war and terrible hunger by the time Tanzania attained its independence in 1961.

This giant of yours looks like exists in people's heads. It is a myth.
 

It is sleeping giant. Tanzania ina kila kitu ila haijapata viongozi wenye maono na uthubutu, serious leaders, wanaojali maisha ya Watanzania wengi.

Mfano hii nchi (Tanzania)mpe Kagame miaka kumi itakuwa dunia ya Kwanza.
 
It is sleeping giant. Tanzania ina kila kitu ila haijapata viongozi wenye maono na uthubutu, serious leaders, wanaojali maisha ya Watanzania wengi.

Mfano hii nchi (Tanzania)mpe Kagame miaka kumi itakuwa dunia ya Kwanza.

Hivyo unavyovitaja kama kila kitu, vimekuwa vikitafunwa kimya kimya na vinaendelea kutafunwa na pengine vimebakia kiduchu kiasi kwamba hata vikianza kufaidisha sasa hakuna hatua nchi itapiga...

Ukubwa wa mwamba wa diamond ulipogunduliwa miaka hiyo Mwadui, huwezi ulinganisha ulivyo sasa...

Kuna migodi mingapi ya dhahabu iliyoanzishwa na mwisho wa siku ikafunvwa baada ya ukanda wa dhahabu kuisha wote?

Una gesi ya asili usiyoimiliki, ipo nchini mwako lakini ili iwe ya kwako inakulazimu uinunue kwa mzungu kwanza...

Bado sijaongelea ubadhirifu wa fedha za mapato ambao kila mwaka CAG akitaja hasara zilizopatikana, Wabongo wanajifanya wanafura lakini mwisho wa siku "wanamuachia Mungu"...

Sisi ni gogo linaloliwa na mchwa ndani kwa ndani huku likionekana ni kubwa kwa nje, wakati ndani lishaozeana na muda si mrefu litageuka kuwa mboji...

We aint a sleeping giant....never!
 
Impressive content but you still need to polish your English language proficiency grammar and vocabulary! It’s like a high school debating language level [emoji4]
Would you write a paragraph about Tanzanian politics so that I gauge your English proficiency relative to the creator of this thread?
 
Good writing! If you’re a junior I’m confident you will be a great writer soon. I also applaud your patriotism for our country. What’s your profession?
 
Oooh!
Your article is so impressive, though you left us on the way!
You didn't take us up to the mountain top!
Please, may you kindly go on elaborating more?
We want to know more about South Korea and if you don't care, let
Your article is so wonderful, I like it.
Though you left us on the way to the peak of the mountain!
Can you please elaborate more about South Korea and if you don't care remind us also about our country. What South Korea possessed to develope more compared to Tanzania?!
Is it kind of leadership or resources?
Please we want to learn from you for the betterment of our country.
Thanks in advance.
 
Good writing! If you’re a junior I’m confident you will be a great writer soon. I also applaud your patriotism for our country. What’s your profession?
Ooooh!
Thanks in advance my dear friend for your encouragement.
My profession is Engineer (Graduate, not yet registered by ERB).
 
Inasikitisha sana lakini umeongea ukweli wote Mkuu.
Tupambane hata kwa hayo makombo yaliyobaki, tuendeleze nchi yetu.
Bado naamini kwa rasilimali tulizo nazo hadi sasa, tukiamua, tunaweza kufika walipo wenzetu wa ulimwengu wa kwanza.
Shida ni hatujapata viongozi wenye uthubutu kama aliokuwa nao Hayati JPM.
Yaani Tanzania kila mtu ni mwoga kuanzia kwa Raia hadi kwa viongozi wa juu kabisa!
Hili nalo inabidi kwa kweli tuliangalie upya.
Hatuwezi kuongozwa na viongozi waoga.
Ifikie hatua tuwaambie waziwazi wajue.
Tunataka viongozi ambao wako tayari kufa kwa ajili ya nchi yao.
Uzalendo uanze na viongozi wakuu kwanza.
Uzuri Raia tunajua hata kwa kuangalia tu matendo. Tunajua kwamba kiongozi huyu ni Mzalendo au siyo Mzalendo.
Bado nina imani na Tanzania yangu.
Bado ninaamini katika rasilimali tulizo nazo.
Ahsante sana.
 
It is sleeping giant. Tanzania ina kila kitu ila haijapata viongozi wenye maono na uthubutu, serious leaders, wanaojali maisha ya Watanzania wengi.

Mfano hii nchi (Tanzania)mpe Kagame miaka kumi itakuwa dunia ya Kwanza.
Mbona huko kwa Kagame umeenda mbali sana Mkuu?
Kwani nani hakuona kilichofanyika kwa kipindi cha miaka 5 ya mwamba JPM?
Mzee Ali Hassani Mwinyi aliwahi kusema, yale yaliyoanyika miaka 5 ya awamu ya 5 ni zaidi ya yale yaliyofanyika law zaidi ya miaka 40!!
Tuna kila kitu, changamoto ni uongozi.
Ova.
 
umechanganya ukweli na uongo umo umo Mkuu.
Ukweli ni kwamba Tanzania ni "giant" kwa angalau Afrika.
Ni "giant" katika wingi wa rasilimali, eneo, idadi ya watu, ushawishi wa kisiasa n.k
 
Mmmmh inafanana na exactly form three essay shule ya mtakatifu yohana. Hapo kwenye human resources tuliyojaliwa ungeitetea ningekuona jiniaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…