Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mlipojenga huo ushuzi wa SGR mlipiga sana kelele kuonyesha kwamba is the best and better railway, sasa hivi mnapata mshituko na mnainamisha vichwa chini.Wacha uongo watanzania hakuna kitu wanafanya hata hiyo south africa munasifia wakenya bado wako juu yenyu huko. Watanzania mumezoea kila kitu ni serikali , hamjui kujituma kwa kazi.
Ninyi ni watu wa show off sana, uliza mkenya anayeishi Botswana atakuambia jinsi watanzania walivyojaa Botswana katika Hospitals and Universities. Tatizo lenu ninyi ni wapenda sifa sana, sisi sio hivyo, ndio sababu mnashindwa kuamini mambo tunayofanya kimyakimya, Kenya mlishitukia BRT inaanza kufanya kazi, hatukupiga kelele wakati tunaijenga, ninyi kupaka tu rangi mnatangazia dunia.Hiyo botswana tena kuna mkenya mwingine, mmiliki wa hoteli yenye wakuu wa serikali ya botswana hupenda sana.
Hivi unajua kwamba Azam ana kiwanda kikubwa sana South Africa lakini hatupigi kelele, Mo ana viwanda Msumbiji lakini hatutangazi, eti tutangaze mtu mwenye shule au Hospital, wacha ushamba wewe tutangaze shule, really?Leta mtanzania mwenye ako na shule ama anaongoza university nje ya Tanzania.
This shows how stupid you are, don't you know that beggin is criminal offense in Tanzania?, we don't allow beggars on our street that's why they cross border to Kenya where there is legal..
Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.Hata Mmarekani anajua wakenya ni watu wa kazi na kujituma. Lakini Tanzania, lini mtafanya kitu ya kuleta sifa kwa taifa?
Africans most productive immigrants in US – Investigative Africa.
Yani kila mahali mtanzania anaenda anakuwa mzigo kwa wenyeji.
Kwani umesahau wakenya tumezalisha kuwaliko kiuchumi. Njaa ni kila mtu ajilishe GOK haiko hapo kulisha familia yako na bibi zako wanne.Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
Kwani umesahau wakenya tumezalisha kuwaliko kiuchumi. Njaa ni kila mtu ajilishe GOK haiko hapo kulisha familia yako na bibi zako wanne.Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
Kumbuka pia wakati hao hao wazungu walisema Tanzania imeingia low middle income, ulikuja hapa na makelele mingi.Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
NonsenseKumbuka pia wakati hao hao wazungu walisema Tanzania imeingia low middle income, ulikuja hapa na makelele mingi.
Kwa hivyo sahi sio wakati wa kugeuka na kusema hao wazungu ni wabaya.
Ubaya ya watanzania mnapenda kujisifu kwa vitu hata mtoto mchanga wa miaka mbili anaeza kufanya.
Acheni kwanza hiyo tabia ya kulisha watoto mihogo na maharage kila siku. Kwanza hapo zanzibar kuona mtu amenunua dagaa ya Tshs 1000 inakuwa shida. Waarabu wamewakalia mpaka hapo zanzibar mwafrika anayewika ni mkenya tu. Watanzania wenyewe muarabu amewadharau mwisho.
A failed state [emoji108]Tatizo in Kenya everybody is Gangster, there is no rule of law kabisaaa
Na yenu ni DEAD STATEA failed state [emoji108]
Hivi unajua ni akina nani walioipaisha botswana kiuchumi, asilimia kubwa ya madaktari wanatoka Tanzania, Manesi, walimu na sekta nyingine muhimu ndio maana mpaka wameona wafundishe kiswahiliHAHAHA, machungu kuona tayari wakenya kama Rachel Wangechi Muraya na wengine wengi walijituma huko botswana na kuanzisha shule za kibinafsi. Nyinyi jitayarisheni kufanyia wakenya Kazi huko botswana.
Hapana mumeenda kuomba omba.Nyie mnajulikana sana in begging profession hamna chochote mnajuaHivi unajua ni akina nani walioipaisha botswana kiuchumi, asilimia kubwa ya madaktari wanatoka Tanzania, Manesi, walimu na sekta nyingine muhimu ndio maana mpaka wameona wafundishe kiswahili
Good news! Now my friend Rachel Wangechi Muraya, Owner of a top private school in Gaborone city will get cheap labor from Tanzanian teachers. I know she had a hard time bringing teachers from Kenya to teach english and Kiswahili at her private school (Believers Destiny Academy, 1400 pupils).
Walimu watanzania wakifika huko watapatana na walimu wakenya wengi wanaomiliki an kuongoza shule mingi hapo Botswana.
Acha dharau kijana.... nimeishi Botswana na Wakenya wengi saana.Juzi niliona mhadhiri mkenya Prof Peter Mbati akipewa tuzo na kupewa vice chancellor wa Sefako Makgatho Health Sciences University , huko south africa, nikashangaa yani hawa wabongo hakuna cha maana huwa wanaenda kufanya huko.
Hata hiyo botswana shule nyingi za kibinafsi zinamilikiwa na wakenya, na walimu wa nje wengi hiyo botswana ni wakenya ambao huchukuliwa kuenda kufunza kiingereza.