Tanzania to assist in Botswana's pursuit to teach Kiswahili in her schools

Wacha uongo watanzania hakuna kitu wanafanya hata hiyo south africa munasifia wakenya bado wako juu yenyu huko. Watanzania mumezoea kila kitu ni serikali , hamjui kujituma kwa kazi.
Hata mlipojenga huo ushuzi wa SGR mlipiga sana kelele kuonyesha kwamba is the best and better railway, sasa hivi mnapata mshituko na mnainamisha vichwa chini.

Almost 30% of medical doctors in Botswana are Tanzanians, Lecturers in Botswana Universities many are Tanzanians. Veterinary Doctors are Tanzanians. Hatupigi kelele kama ninyi.
 
Hiyo botswana tena kuna mkenya mwingine, mmiliki wa hoteli yenye wakuu wa serikali ya botswana hupenda sana.
Ninyi ni watu wa show off sana, uliza mkenya anayeishi Botswana atakuambia jinsi watanzania walivyojaa Botswana katika Hospitals and Universities. Tatizo lenu ninyi ni wapenda sifa sana, sisi sio hivyo, ndio sababu mnashindwa kuamini mambo tunayofanya kimyakimya, Kenya mlishitukia BRT inaanza kufanya kazi, hatukupiga kelele wakati tunaijenga, ninyi kupaka tu rangi mnatangazia dunia.
 
Leta mtanzania mwenye ako na shule ama anaongoza university nje ya Tanzania.
Hivi unajua kwamba Azam ana kiwanda kikubwa sana South Africa lakini hatupigi kelele, Mo ana viwanda Msumbiji lakini hatutangazi, eti tutangaze mtu mwenye shule au Hospital, wacha ushamba wewe tutangaze shule, really?
 
This shows how stupid you are, don't you know that beggin is criminal offense in Tanzania?, we don't allow beggars on our street that's why they cross border to Kenya where there is legal..

The same reason we do arrest so many Kenyans who are bandits and thieves but we never shout the way you do. We arest many Kenyans with cuts(mirungi), but we never publish in news papers, you people are very stupid.
 
Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
Kwani umesahau wakenya tumezalisha kuwaliko kiuchumi. Njaa ni kila mtu ajilishe GOK haiko hapo kulisha familia yako na bibi zako wanne.
Kumbu kumbu
2010: Tofauti ya Kenya na Tanzania kiuchumi ilikuwa $8 billioni
2020: Tofauti ya kenya na tanzania kiuchumi ni $42 billioni.
 
Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
Kwani umesahau wakenya tumezalisha kuwaliko kiuchumi. Njaa ni kila mtu ajilishe GOK haiko hapo kulisha familia yako na bibi zako wanne.
Kumbu kumbu
2010: Tofauti ya Kenya na Tanzania kiuchumi ilikuwa $8 billioni
2020: Tofauti ya kenya na tanzania kiuchumi ni $42 billioni.
 
Hiyo ndio mnapenda kusifiwa na wazungu lakini mnashindwa kuzalisha ndani ya nchi yenu, watu wenu wanakufa njaa mnategemea Chakula cha msaada.
Kumbuka pia wakati hao hao wazungu walisema Tanzania imeingia low middle income, ulikuja hapa na makelele mingi.
Kwa hivyo sahi sio wakati wa kugeuka na kusema hao wazungu ni wabaya.

Ubaya ya watanzania mnapenda kujisifu kwa vitu hata mtoto mchanga wa miaka mbili anaeza kufanya.

Acheni kwanza hiyo tabia ya kulisha watoto mihogo na maharage kila siku. Kwanza hapo zanzibar kuona mtu amenunua dagaa ya Tshs 1000 inakuwa shida. Waarabu wamewakalia mpaka hapo zanzibar mwafrika anayewika ni mkenya tu. Watanzania wenyewe muarabu amewadharau mwisho.
 
Nonsense
 
HAHAHA, machungu kuona tayari wakenya kama Rachel Wangechi Muraya na wengine wengi walijituma huko botswana na kuanzisha shule za kibinafsi. Nyinyi jitayarisheni kufanyia wakenya Kazi huko botswana.
Hivi unajua ni akina nani walioipaisha botswana kiuchumi, asilimia kubwa ya madaktari wanatoka Tanzania, Manesi, walimu na sekta nyingine muhimu ndio maana mpaka wameona wafundishe kiswahili
 
Hivi unajua ni akina nani walioipaisha botswana kiuchumi, asilimia kubwa ya madaktari wanatoka Tanzania, Manesi, walimu na sekta nyingine muhimu ndio maana mpaka wameona wafundishe kiswahili
Hapana mumeenda kuomba omba.Nyie mnajulikana sana in begging profession hamna chochote mnajua
 

You call believers one of the top schools in Gaborone???

You must be joking....

It is a good business for her...watoto wanaenda chooni ila haipo hata top 100...

Kwa Tanzania belivers ni kama baadhi ya shule zinazojiita private jina tu.

Lini believers wamefundisha Kiswahili??
 
Acha dharau kijana.... nimeishi Botswana na Wakenya wengi saana.

Botswana sivyo kama mnavyoiandika hapa...Waswana wengi English ni second Language. Hata hawkers wanazungumza English... Itakuwa option ya mwisho kwa mwenye shule kumpa Mkenya afunze english...labda shule kama hiyo uliyoitaja ndiyo utakutana na Wakenya wanafundisha English. Bahati nzuri mwanangu amesoma hapo reception.

Huyu dada unayemsifia namjua vizuri saana. Sitaki kuingia ndani na kuanza kuponda au kusifia maisha ya watu maana ni utoto...

Hata sasa hivi ukienda kwa Wakenya wenzio wanaoishi Botswana hawawezi kusema hiki ulichokiandika hapa mbele ya Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…