Tanzania to build Region's largest Gas-fired Power Plant; Export Power by 2017

Suala LA kumkabizi marekani kuzalisha umeme roho yanidunda si ndo uyu kasema hayupo ela ya MCC kisa Zenji na Cyberlaw.
Ipo siku atasema mazima umeme msipokuwa mashoga
 
Hiyo ni gear ya mwekezaji kupata kibali na misamaha ya kodi!viettel walidanganya kugawa smartphone bure

hahah!! ni kweli kabisa, hizo ni longo-longo. wanaotarajia kujenga hiyo plant ni Statoil, BG, na ExxonMobil, kushirikiana na TPDC. mpango upo mezani, unasubiri mikakati ya gesi kutoka bahari kuu kufika nchi kavu ikamilike. bado wanatafuta 'best technology' ya kusafirisha gesi kiasi ya 200km kutoka katikati ya bahari mpaka nchi kavu. na kuna uwezekazo wa hiyo plant kujengwa Lindi kwa kuwa ni karibu zaidi.
 

Ni mkakati uliowekwa ili kuigawa tanesco, upande wa uzalishaji unataka kuporwa kutoka tanesco na kupewa wawekezaji hiyo hiyo 2017 subirini muone
 
Huu ni ulaghai kwa nini hawa Symbion sijui nini wanataka kutuibia tena, umeme wanaozalisha kwa pesa za peremende lakini gharama yake ni ya ajabu. JPM chunguza hili, TANESCO wafanye hizi kazi sio makuwadi wa wageni. Lipo jipu kubwa sana kwenye uzalishaji wa umeme hawa wanajitajirisha isivyo halali kwa mgongo wa walipa kodi.
 
Hizo 600MW mngewaza kuzitumia humo ndani kabla ya kutuuzia sisi. Matatizo ya umeme Bongo ni noma sana. Pale Morogoro nilikua juzi hadi nikawahurumia, mgao kila siku hadi unashindwa kuelewa wajasiria wanaishi vipi.
 
Mkuu sasa 50KMW ndio nini au unamaanisha 50 GIGAWATT??
 
Juzi Ethiopia wamezindua power plant yenye uwezo wa kuzalisha more than 3000MW wewe unaongea kuhusu 600MW as the biggest in Africa? Umelogwa?

Hawa Symbion walilipia PR article katika Citizen! Hawana lolote - genge la ex CIA tu - wabangaizaji!
Waingie mkataba na investors ndo watangaze siyo kwamba wanatafuta. Kwani hao investors wapo humu nchini?
Narudia hawa jamaa wako hapa kwa shughuli nyingine hii ya umeme ni cover tu.
 
500000MW ni nyingi sana sana. 5000MW utakuwa sasa kwa nchi 9ja
 
You are right - wapo kwa kufatilia nyenendo za Uwekezaji wa Wachina na ikiwezekana watajaribu ku-undermine uwekezaji wao kwa kushirikiana na watu wasio waaminfu, chukulia safari ya Putin kutembelea Tanzania ilivyo yeyuka - naye alikuwa anataka kuwekeza kwenye masuala ya mafuta na gesi.
 
Hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi. Kuanzia mwanzo wa ujenzi wa bomba la gas kutoka mtwara kuja Dar ambalo lililogharimu zaidi ya Tsh Trilion 1 ili gasi itumike kuzalishia umeme, nilifikiri kwa nini ujenzi wa mitambo ya kinyerezi na mingineyo haikufanyika Mtwara ili kuepuka gharama za bomba la gas. Umeme ungezalishwa moja kwa moja kutoka mtwara na kuingia kwenye Grid ya Taifa kuanzia mwanzo.

After all, sisi tunaposema largest Gas-Fired Plant itakayo zalisha 600MW, Ethiopia itakuwa inazalisha 6000MW kutoka Grand Ethiopian Renaissance Dam.
 
Last edited:
Mkuu, wewe unazungumzia Liquefied Natural Gas Plant ambayo ni tofauti na Gas Fired Plant. LNG Plant ni kuifanya gesi iwe hali ya kimiminika na kuiuza masoko ya nje na ndani. Gas Plant ni simply uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi.
 
Suala hapo ni demand na supply. Kama tutakuwa na 4000MW kabla ya 2017 na demand yetu inakua taratibu ( haitafikia 2500MW by 2017) then acha wawekezaji waje...tuwe na surplus na tuuze. It makes sense in economic point of view
 
Vichekesho kweli... Vi Megawatt 600 tunavipigia hesabu ya kuuza wakati hata hapa kwetu umeme haujatosha??

Ile sera ya Magufuli ya Viwanda tutaitekeleza kwa Umeme upi??
wee unaaamini kuna viwanda kweli vitafufuliwa? don't be that naive bro, kufufua viwanda vya tairi au nguo kwa mfano ambavyo vilikufa kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita, unahitaji unahitaji teknolojia inayoendana na ya kisasa ili kuendana na ushindani na bei, pia unahitaji wataalamu wa kuendesha hiyo teknolojia sasa ndani ya miaka 5 matatizo kama hayo huwezi yatatua, ni muda mfupi sana
 
mbona mnaaza kuzungumzia mambo ya viwanda na wakati ukiyatafakari kwa kina sio realistic
 
Hii nchi haiishi kwa maajabu!

Wengine wanawaza kuuza nje wengine wanaza kununua toka nje.



cc Mzee Mwanakijiji

Hii hapa chini ndiyo mipango ya majembe ya Magufuli!
HAHAHAHAHAHAHAAAAAAAHHAAHAHAHAHAAHAHA MKUU NIMECHEKA HADI WATU WA KARIBU WANANIONA CHIZI KWA KUCHEKA MWENYEWE, HII NDIO TZ BANAA
 
Last edited by a moderator:
mbona mnaaza kuzungumzia mambo ya viwanda na wakati ukiyatafakari kwa kina sio realistic

Kwa nini unadhani sio realistic? Sio kazi nzito kama unavofikiri tena kwa body yenye nguvu kama Serikali.
 
Nigeria inazalisha megawatt 50,000 kwa mwezi na bado haziwatoshi, South Africa megawatt 100,000 kwa mwezi bado haziwatoshi. Sisi megawatt 600 na tunawaza kuuza umeme. Daah ngoja tuone

ukiwa hujui kitu nakushauri usiwe unaongea
hizo data zako ni za uongo
hivi unajua hata Tanzania wanazalasha megawatt ngapi?
 
KUFUFUA KIWANDA KIWANDA KILICHOKUFA MIAKA 10 ILIYOPITA KAKA SIO KAZI RAHISI, TEKNOLOJIA IMEBADILIKA SANA SASA HIVI, VIWANDA VINGI KUTOKA NCHI AMBAZO TUNA IMPORT BIDHAA ZIMEKUA VERY ADVANCED KWA HIYO WANAZALISHA KWA NJIA AMBAYO INA EFFICIENCY YA JUU SANA, KWA HIYO KUSHINDANA NAO INAHITAJI KWANZA UME UPDATE TEKNOLOJIA YAKO UWE NA WATAALAMU WA KU RUN HIYO TEKNOLOJIA (NA WATAALAMU HAO HATUNA KUTOKANA NA ELIMU YETU) NA UWE TAYARI KU SACRIFICE MAPATO YAKO YA KODI ULIYOKUA UNAYAPATA KUTOKANA NA IMPORTS, SASA KWA SERIKALI HII NINAYOIJUA HILI SIO POSSIBLE, MARK MY WORDS BAADA YA MIAKA MITANO UTANIAMBIA MR. NULLPOINTER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…