Tanzania to fund its own projects

By October this year Museveni atatoa uamuzi na ukiangalia vizuri Isaka to Masaka si mbali ukiacha possibility ya kufika Kampala kutoka Masaka na kutoka Mwanza kwa ferry.uchumi wa Uganda unaenda kuwa wa Mafuta na yapo Magharibi ya Uganda.
 
pesa ipo yakutosha kwa upande watanzani. P
 
Those are dummies ndio wapinzani wa Tanzania
 
Sasa hii ni habari ya mwaka juzi wakati tulikua hatujaamua kujenga kwa kutumia pesa ya ndani. Kila mradi lazima kuwepo na financing modality, mwanzo tulitaka tutumie njia ya kukopa kama zinavyofanya nchi nyingi katika miradi mikubwa kama hii, lakini baadae tukaona bora tujibane na tulipe wenyewe baada ya kuona masharti na riba ilivyokubwa, tatizo lipo wapi?
 
Tanzania is a part of the world, to qualify more is a part of Africa which is the last continent in the world, it is estimated that about 80% of Africans are still undergoing process of evolution from apes to human being, so don't be surprised to see them here, keep on educating them.
 
Acha kukurupuka nani amekudanganya habari ni ya mwaka juzi!? Na nani aliyekudanganya kwamba mmejibana kwenye matumizi? Unajibana vipi huku deni la Taifa aliloacha Kikwete la 43 trillions linapaa hadi kufikia 58 trillions ndani ya miaka miwili!?

Soma kwa makini yanayoandikwa humu badala ya kukurupuka.

 
Usimuamini huyo muongo dhalimu anayedai tuna pesa nyingi sana halafu anashindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi, anashindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu walioomba 62,000 waliopata ni 31,000 tu bajeti hewa kila wizara badala ya kupewa 100% ya bajeti husika wanapewa 20% 30 na labda 40% fungua akili yako.

Haya wewe msema ukweli tuambie tafadhali, ujenzi wa SGR hadi sasa hizi phases mbili za mwanzo nani aliyetoa pesa?,
 
Wewe ni kilaza sana, hii taarifa ipo kwenye gazeti la May 2017, sasa utasema hiyo ni taarifa ya lini?. Kuhusu kupaa kwa madeni sasa unataka tuendelee kukopa hata pale ambapo tunaweza kupunguza kukopa ili deni lisiongezeke?. Fly over ya TAZARA, interchange ya Ubungo, upanuzi wa bandari Dar, na miradi ya maji kote huko tumekopa na ndiyosababu hilo deni limepaa, kama tukiendelea kukopa katika SGR na Stiglers gorge, hilo deni lita double, anachofanya Magufuli ni kupunguza uwezekano wa kukopa, sasa wewe tatizo lako lipo wapi?. So far so good, tumepata pesa za hizi phases mbili za awali, hata kama tutakopa huko mbele, lakini angalau tumepunguza hicho kiasi cha kukopa, wewe ulitakaje?
 
Wewe ndiye mtu wa hovyo sana, kwani tukisema Africa ni tajiri maana yake kila mtu anazo pesa mfukoni?, anachosema ni kwamba Tanzania ni tajiri kwa kuwa na rasilimali nyingi, kuanzia ardhi, maliasili yakiwemo madini, maziwa, na bahari, vikitumika ipasavyo basi tunaweza sana kupunguza umasikini, anajitahidi kukusanya kodi na kupunguza matumizi ya hovyo serikalini, bajeti ya madawa imeongezeka toka 30B, mwaka 2015 hadi 260B mwaka 2017, wewe ulitegemea matatizo yote yamalizike ndani ya miaka miwili?
 
Kwa akili yako finyu ni ya mwaka juzi pumbavu mkubwa. Na nchi inayobana matumizi yake matokeo yake deni lake la Taifa hukuwa kwa 15 trillions. Na hivyo ndani ya miezi 10 kuwa na pesa nyingi sana za kuweza kufinance miradi yake yote ya maendeleo huku ikishindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi wake na kuwapa mikopo wanafunzi wote wanaostahili kupata mikopo.

Ujuha wako siyo humu nenda nao mtaa wa lumumba humu tutakuchapa za uso kwa kutaka kutuaminisha uongo.

 
Akili yako finyu sana hili limekuzidi kimo unaandika pumba tu na kuonyesha ujuha wako uliopitiliza. Rudi shule ukaelimike badala ya kuja humu na kutaka kuonyesha ni mjuvi kumbe ni ZWAZWA tu.
Serikali hiyo hiyo miezi 10 iliyopita ilikuwa inahangaika duniani kote kutafuta financiers leo imepata pesa zake za kufadhili miradi ya maendeleo lakini wakati huo huo kushindwa kusema imepata wapi pesa hizo.

Hakuna tax collection base ya kuweza kufadhili miradi ya maendeleo ni UONGO WA HALI YA JUU.

 
Na hapo Mkuu bado hujatoa recurrent expenditures za kila mwaka kwenye hiyo 40% inayokuwa collected kila mwaka.

Hahahaa Funding its own Projects wakati Budget dependency ni over 60%????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…