Tanzania to fund its own projects

Miradi inajengwa at the expense ya maisha bora ya watanzania.
 
Hakuna pesa wewe! Usiamini hii Serikali ya waongo!!! Fungua akili yako! Za kuambiwa changanya na zako!!!

Miradi haitekelezwi kwa fedha taslimu. Bali kwa awamu baada ya malipo ya awali kutolewa.
 

Hivi miaka yoote iliopita waliokuwa wakipayuka kisa uhuru wa KUONGEA tumefika wapi kama NCHI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…