TANZANIA TO HOST AFCON U17 2019

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
zikiwa zimebakia siku chache kuelekea kile kivumbi na jasho cha mashindano ya african cup of nation kwa vijana waliochini ya miaka 17 huku nchi ya Tanzania ikiwa mwenyeji wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi tarehe 14 mpaka tarehe 28 mwezi huu wa nne, maandalizi yote yamekamilika ikiwa na viwanja vitakavyotumika ambavyo ni uwanja wa mkuu wa taifa (tanzania national stadium) almaarufu kama kwa MKAPA au TAIFA na kiwanja cha Azam complex Chamazi
na pia uwanja wa uhuru ambao utatumika kwa ajiri ya mazoezi ya team shiriki.

mshindi wa kwanza mpaka wa nne wa mashindano haya ataingia moja kwa moja kwenye kombe la dunia la vijana wa chini ya miaka 17 wakiwa kama wawakilishi wa Bara la Afrika, mashindano hayo ya dunia yatakayofanyika nchini Brazil mwaka 2019.

nchi zilifuzu katika mashindano hayo ya AFCON U17 2019 ni

1.Tanzania (mwenyeji)
2.Uganda
3.morocco
4.senegal
5.Guinea
6.cameroon
7.Nigeria
8.Angola

ambapo kutakua na magroup mawili
group A litakua na team za

1.Tanzania
2.Nigeria
3.Uganda
4.Angola

Group B
1.cameroon
2.morocco
3.Guinea
4.Senegal







Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK youth park pia itatumika kwa mazoezi na Gymkhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kubadili tittle ya uzi nakuweka "Dar to host Afcon" kuna nchi (Kenya) majuzi walishindwa ku host ila jiji moja la Tz limeweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…