Tanzania to issue Covid-19 clearance certificate

Tanzania to issue Covid-19 clearance certificate

Good! But how do they get to differentiate between the real Corona and that found in Tanzanian pawpaws? Tumia akili kidogo tu unielezee mtatumia vifaa vipi vya kupimia Kama vile mlitumia mwanzo vilidhihirisha kuwepo kwa Corona kwa matunda? What is different now?

Kwa akili hii bora ubaki hivyo hivyo. Mpaka leo huelewi kuhusu hii issue ya Kupeleka sample kutoka vitu mbali mbali maabara ili kujua Kama test kits hazina faults?
 
Kwa akili hii bora ubaki hivyo hivyo. Mpaka leo huelewi kuhusu hii issue ya Kupeleka sample kutoka vitu mbali mbali maabara ili kujua Kama test kits hazina faults?
Ala! Mnatumia test kits gani?😉
 
ha ha ha , sasa ukipata certificate leo halafu uambukizwe corona kesho, bado utaonyesha certificate ???
 
Back
Top Bottom