Tanzania to support S. Africa in teaching Kiswahili: minister

Tanzania to support S. Africa in teaching Kiswahili: minister

There's no brotherhood.... Lol😀😀😀

There's just one country dick-riding the other that's not even aware.😀😀😀

The average South African gives no damn about Tanzania. To the average South African, there is South Africa (that is rich) then there is the rest of Africa (that is poor). Go talk to then about your silly brotherhood when they start killing your poor brothers trying to earn a living down there.😀😀😀
Maintain some 70 kilometers away monster 👾, we're southerners, gerarahia men from kakuma
 
Niite mswahili na siyo mswahili nusu nusu nakipenda kiswahili u-magharibi haunihusu

Tema ng,eng,e nizue vita hapa na ukija kakadege nakuja kama mnyapa kwa lugha nakuchapa mbele ya wenzako.. Mswahili.

Bila shinikizo hii lugha mim naipenda ntaipgia chapuo popote napokwenda ntaisambaza kwa sanaa miongo kwa miongo nisalie kuwa shujaa kama fumo liongo..
 
Wameannounce tu wanataka kufunza kiswahili wengine wamejipeleka huko kujipendekeza. No wonder mnadharauliwa huko.
unyang'au proper...this time around hatuwapi nafasi ya kupumua, tunaenda sambamba na nyinyi bampa to bampa.

mlitudharau sana enzi za utawala wa jk.
 
Believe me wengi watakuwa WaKenya, sioni Tz wakitoboa kule kama masomo ya kwao imewashinda ya south afrika wataweza na zile ze ze zeze zao?
wivu wa kike huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unyang'au proper...this time around hatuwapi nafasi ya kupumua, tunaenda sambamba na nyinyi bampa to bampa.

mlitudharau sana enzi za utawala wa jk.
This means you've always been envious of our unyang'au. No wonder mnatuchukia.
 
Watanzania kwa mdomo hawajambo. Kote kote duniani Kiswahili hufunzwa na Wakenya wakiongozwa na hayati Proff. Ali Mazrui, hapa wako tu kujisifu jinsi wao huongea kiswahili bora. Kiswahili chenyewe wanachoongea ni madhalau, foreni na chibudi chibude hadi unashangaa kama hicho ndicho Kiswahili sanifu.
wivu wa kike huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu ama ukweli? Wewe si unasema ulikuwa Kenya, je ulipona Barabara zilizoko hapa Kenya, je kuna kama hizo Tz?
 
Watanzania kwa mdomo hawajambo. Kote kote duniani Kiswahili hufunzwa na Wakenya wakiongozwa na hayati Proff. Ali Mazrui, hapa wako tu kujisifu jinsi wao huongea kiswahili bora. Kiswahili chenyewe wanachoongea ni madhalau, foreni na chibudi chibude hadi unashangaa kama hicho ndicho Kiswahili sanifu.
Eti wakiongozwa na hayati, huu ujinga na upumbavu hamtapona walahi.
Hayati anaongoza walimu wa Kenya.
 
Unawaongelea watanzania wepi ??...

Hao walioishi kwenye ujamaa huku wamefungiwa ndani ya nchi

Hao waliokuwa wasomi wachache waliosoma katika vyuo vikuu vilivyohesabika

Au unawaongelea wale waliokuwa wakisoma wanapata ajira moja kwa moja...

Braza haujui kuwa watanzania wanaiona SADC hasa RSA kama nchi isiyo na ugumu kwenda na ndo maana wanapaita bondeni...

siku hizi kuna graduates wengi kuliko uwezo wa serikali kuwaajiri, kuna social networks kibao zinazofanya access ya taarifa kuwa rahisi, watu wanatafuta green pastures kama vichaaa na kama hili limevaliwa njuga na serikali bhasi jiandaeni kwa maumivu.. wakenya ni lazma muwepo ila kuwa wengi kuwazidi waTz ..hilo muda utaamua
Muda wa decades sio years my Friend.
 
Ahaaa haaa haaa
the poor Swahili teachers try to give a feel good story.
Teh teh teh tihiii
we don't need to rumble just wait and see where the RSA will go to ask for teachers.
Most doctors, teachers, lecturers and other professionals in SA are Kenyans.
 
Asante waziri, William Ole Nasha..

Watanzania wakamate hii fursa mara moja.

Hakuna nchi yoyote duniani, Afrika, na Afrika mashariki yote yenye kuzungumza Kiswahili fasaha kama Tanzania.
 
Kenya has been pushing adoption of Kiswahili as a lingua franca for Africa. Due to Kenya's influence and visibility internationally, Kiswahili is slowly gaining ground. Kenyans pushed twitter to have Kiswahili as one of the language, it succeeded, Kenya petitioned AU to have it as one of the language, it succeeded, Other example where Kenya has worked hard to have Kiswahili adopted is Google, Facebook, Microsft, etc . Kenya is the real force behind visibility of Kiswahili. Tanzania has nothing to do with all these. Inatazama tu!
 
Sasa tunawashukuru sana,
 
linaniumiza?!!... smh [emoji23] [emoji23]
Bararbara ulizo pitia hujawahi kuziona Tz sio?😉😉
Je bwana Kadoda uliona na kupitia hapa?
1537428505890.png
 
Back
Top Bottom