Tanzania to support S. Africa in teaching Kiswahili: minister

If so then Good, you did a good job for us.
Besides, Swahili originated from Tanzania and spreads all over the world now, We Tanzanians are so Lucky.
 
Angalia dunia mzima wacha hata SA walimu wengi wa kiswahili ni Wakenya. Najua inauma lakini huu ndio ukweli.
Kiufupi ni kwamba sio wakenya ndiyo wanaojua kiswahili kwani ni wasomi wachache sana wa kiswahili Kenya ukilinganisha na Tz, ila tatizo linalotuzuia sisi Tz tusipate fursa ni urasimu was kupenda rushwa hasa kwa wale wanaopata michongo hii, mtu anataka uumpe miloni 2 ili akuunganishe wakati hata laki tano ya mtaji wa mpesa huna [emoji22] [emoji22] [emoji22] unafanyaje hapo
 
Stop fooling yourself once in your life. Our minister had not spoken out of nowhere, but from the extensive consultation with their South African counterparts.
mlivyo fast, kesho tutasikia nu imesaini mkataba na ministry of educaton ya sa. mkawafundishe sheng.
Nimefuatilia kumbe SA walishatuma maombi kitambo ya Swahili teachers. Hili deal letu uzuri siku izi hakuna kulala.
Nakumbushia tuu.
 
Walimu watakaoenda pia wanatakiwa wajue kutema yai...la sivyo huko darasani Lugha zitakuwa gongana.
 
Walimu watakaoenda pia wanatakiwa wajue kutema yai...la sivyo huko darasani Lugha zitakuwa gongana.
Walimu wanaofundisha kiswahili sekondari walisoma HKL hivyo kiingereza hakiwapigi chenga.
 
Walimu watakaoenda pia wanatakiwa wajue kutema yai...la sivyo huko darasani Lugha zitakuwa gongana.
Wewe hujui walimu wa kiswahili hua wanasoma na English-language, Au kiswahili na history so kingereza wanajua japo hakina uzito sana kilingana na kazi wanayoenda kuifanya
Tena wataharibu wakitaka kutafsiri kila kitu
 
Sisi watu wa ajabu sana
Badala ya kutafuta soko la kahawa, korosho , mbaazi , karafuu , tumbaku nk tunakwenda kuomba tupeleke walimu wa kiswahili ambapo kiukweli walimu ni suala la uwezo na qualification. Na sana mtapeleka walimu wangapi ? Kwani SA wanataka kuongea Kiswahili ?
Sana watachukua walimu wa 5 !
 
Ahaaa haaa haaa
RSA wanajua fika wapi watatoa walimu wa lugha hiyo adhimu ya kiswahili.
acha tukafundishe bana, na hivi visa ni bure, MAMBO ni mujarabu.
Teh teh teh tihiii
Yaaani kuingia SouthAfrica ni kama kwenda Kampala na Nairobi.

Ni passport yako, poleni Northerners
 
Jamaa yangu nakuonea mpaka huruma duh.....

Anyway SouthAfrica ni nchi kubwa sana hata ukipeleka walimu 500 hawatatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…