When will you learn the importance of punctuation marks? Let me rewrite the whole paragraph for you.For me, swahili is the first,the best,then English follows ..i been using it since my childhood,so i don have any problem with it,anyway
Kama unaweza kubainisha makosa kwenye maandiko yangu unaweza kunionesha kama nilivyofanya yesterday kwenye andiko lako la " learn how write",it is very simple
Show me the mistake,i will teach you for free
Sasa hao watu elfu 20000 ndio wamefanya hamna mass unemployment? Hujui kuwa Kenya kuna viwanda vingi kuliko Tanzania na vimetoa ajira Kwa wakenya wengi kuliko watanzania? Sekta ya utalii imeajiri wakenya wengi ndani na inje ya nchi hotel ndani ya Tanzania jimeajiri wakenya wengi kuliko watanzania hebu nambie ni mtanzania yupi ambaye ameajiriwa Kenya katika sekta ya utalii? Sekta ya reli Kwa maana usafiri wa reli kwetu upo imara kushinda wa kwenu.SEKTA YA RAILWAY TANZANIA RAILWAYS LIMITED (TRC).
NA HATA MWAKA HUU WAPO WALIOTOKA RELI COLLEGE TABORA WAKAPATA AJIRA ZA PAPO KWA PAPO 20000.
UKITOA HZO KUNA ZINGINE ZINATANGAZWA NOW.
MZEE WANGU ANAFANYA KAZ HAPO NA NINAFAHAM DETAILS NYINGI.
For me, swahili is the first,the best,then English follows ..i been using it since my childhood,so i don have any problem with it,anyway
Kama unaweza kubainisha makosa kwenye maandiko yangu unaweza kunionesha kama nilivyofanya yesterday kwenye andiko lako la " learn how write",it is very simple
Show me the mistake,i will teach you for free
Sio takwimu yangu ipo huko wizarani basi tufanye mambo yako kinyume cha hiyo takwimu ili uridhike maana sielewi kwa nini hamtaki ukweliHALAFU TAKWIMU YAKO YA UONGO.
ACHAGA UNAFIKI AISEE.
SIO MZURI.
HATAKAMA UONGO ILA DAH JARIBU KUBALANCE.
ILA NI KHEIRI YA TZ WATU WANA UTAPIA MLO LAKINI KENYA WATOTO WAZEE NA WATU WAZIMA WAFA NJAAA KINDAKINDAKI.
IT MEANS BORA SISI TWAJIKOKOTA.
My friend,you have got a long way to go ..but am very sorry i got the concept of your problem,you used to pay the school fee,then you sat in class in order to learn English,totally,that is your problem.Continue trying harder. The correct sentence is "I have been using it since my childhood..." and not " i been using it since childhood... "
" I don't have any problem with it" and not " i don have any problem with it"
Learn how to construct sentence.
Yaani mfano ili uondoe njaa unahitaji gunia kumi kwa mwaka sasa unapata 2 ndo upongezwe kwa lipi wakati unazaa watoto watatu kila mwaka?Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi, Seleman Jafo amesema Rais John Magufuli ametoa Sh284.5 bilioni kwa ajili ya kuboresha na kujenga vituo vipya vya afya nchini.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 30 katika viwanja vya Mwakangale wilayani Kyela katika ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya.
“Tukizungumzia sekta ya afya juzi tu kule Mbonde Mtwara Rais umezindua kituo cha afya kikiwa ni miongoni mwa vituo vya afya vilivyoboreshwa 352, vituo vya afya vipya 67 ambavyo vimetumia Sh284.5 bilioni.”
“Tunakushukuru ndiyo maana watu wa Ipinga wanafahamu kituo chao cha afya ni bora kuliko hospitali ya wilaya, tumeshaleta dawa, vifaa tiba na vifaa vya kisasa mpaka pasi pale ipo,” amesema Jafo.
Aidha, Jafo amesema Rais ameidhinisha Sh52.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa shule, madarasa, nyumba za walimu na vyoo.
ATLEAST TOA UJINGA KAKA.
AU HUJUI KWANINI BUDGET INATENGWA??
KWAHIYO ULITAKA RAIS AJIKITE KTK AFYA TU ILHALI MIUNDOMBINU MIBOVU?
KIGAMBONI VITUO VYA AFYA VIPO.
ISIPOKUWA KUNA CHOICE YA MTU.
KUMBUKA DAR NI JIJI.
KUNA WALIOTAKA KUWAHI KAZINI WENGINE KUWAHI MASHULE NDIO MAANA DARAJA KUJENGWA LIMEWAPA WATU UNAFUU KUWAHI WAENDAPO.
VITUO VYA AFYA VINAJENGWA IT MEANS RAIS ANASTAHIL PONGEZI KWASABABU ANATEKELEZA KINACHOSTAHILI.
KAONA VITUO VYA AFYA VIDOGO AKATOA HELA VIONGEZWE NA KUBORESHWA.
KUMBUKA AKATI MAGU ANAINGIA MADARAKAN HATA X-RAY MACHINES ZILIKUA TABU HADI HUKU MJINI.
AKAONGEZA VIFAA TIBA IKIWEMO VITANDA,VIFAA VYA MAABARA NA MADAWA.
HUYO BADO HASTAHILI PONGEZI??
INGEKUWA AMEAHIDI HALAFU HAKUNA KINACHOENDELEA KWELI.
LAKINI KUMBE KESHAANZA KUJENGA TATIZO LIKO WAPI??
KTK AFYA KASHAANZA UTEKELEZAJI WACHA ABORESHE MIUNDOMBINU.
WE HAUJUI TULIKUA TUNASUMBUKAJE KTK KUWAHI SHUGHULI ZETU KIPIND DARAJA HALIPO.
MUDA MWINGINE FICHA UJINGA.
Labda huna kazi ya kufanya,When will you learn the importance of punctuation marks? Let me rewrite the whole paragraph for you.
For me Swahili is the first and the best, then English follows. I have been using it since my childhood so I don't have problem with it anyway.
BRO UMEROPOKA SANA.Sasa hao watu elfu 20000 ndio wamefanya hamna mass unemployment? Hujui kuwa Kenya kuna viwanda vingi kuliko Tanzania na vimetoa ajira Kwa wakenya wengi kuliko watanzania? Sekta ya utalii imeajiri wakenya wengi ndani na inje ya nchi hotel ndani ya Tanzania jimeajiri wakenya wengi kuliko watanzania hebu nambie ni mtanzania yupi ambaye ameajiriwa Kenya katika sekta ya utalii? Sekta ya reli Kwa maana usafiri wa reli kwetu upo imara kushinda wa kwenu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Swali ni kwamba anatekeleza hatekelezi?!Yaani mfano ili uondoe njaa unahitaji gunia kumi kwa mwaka sasa unapata 2 ndo upongezwe kwa lipi wakati unazaa watoto watatu kila mwaka?
Upungufu ni mkubwa sana kuna zaidi ya kata 3000 nchi hii wewe unazungumzia hesabu ya around 300 Sasa hapo tunapongeza nini?
I can't teach a dump person how to speak. You better concentrate on your Swahili part because the other side is more heavier than you.My friend,you have got a long way to go ..but am very sorry i got the concept of your problem,you used to pay the school fee,then you sat in class in order to learn English,totally,that is your problem.
Huwa tunatumia"i been " in america but ukitumia "i have been" ni sahihi pia,tatizo lako ulikariri ulipokuwa class,jaribu kuendana na muda,this world is moving so fast
Welcome
Endelea kukariri lugha za watu hapo kibera mr. An hotelI can't teach a dump person how to speak. You better concentrate on your Swahili part because the other side is more heavier than you.
Hehehe Mr. Machetes has turned back to insults after trying to write in English backfired. It's "I have been or I've been" and not "I been", " do not or don't " and not "don". The first impression coming to me when I see your writings is that you have never stepped your foot in any classroom. The fact that Americans pronounce it that way doesn't mean it's written the same way.Endelea kukariri lugha za watu hapo kibera mr. An hotel
Dah haijawah tokea mtu mjinga kama mkenya,aiseee
You attended the class for English..!!Hehehe Mr. Machetes has turned back to insults after trying to write in English backfired. It's "I have been or I've been" and not "I been", " do not or don't " and not "don". The first impression coming to me when I see your writings is that you have never stepped your foot in any classroom. The fact that Americans pronounce it that way doesn't mean it's written the same way.
Let me teach you kidogo Mr Machetes on punctuation marks.
1. (...) - Used when some words are missing.
2. (?) - Used when asking questions.
3. (.) - Used to show end of a sentence or word.
4. (,) - Used to show small break or pause in a sentence.
5. ("...") - Used when you want to quote someone.
Thank me later.
You attended the class for English..!!
Wonderful.
I dropped the class on my fourth day of primary school...Tuachane na Queen's language kidogo, which was the highest level of education you reached? Si kwa ubaya because I'm seeing some silly mistakes in your writings that leaves me wonder if you even attended kindergarten.
Waah! What an ironical statement. You don't want to be mentally colonized yet you have mastered their language in your head and youstill continue writing the same language even though in a broken way.I dropped the class on my fourth day of primary school...
I didn't wanna be mentally colonized at all!
So what is your point?
Not "mistakes that leaves"Tuachane na Queen's language kidogo, which was the highest level of education you reached? Si kwa ubaya because I'm seeing some silly mistakes in your writings that leaves me wonder if you even attended kindergarten.
Not "mistakes that leaves"
But "mistakes that leave"
We mjaluo vp wewe!!!
Yaani unarekebishwa na mimi mjinga mjinga ambaye niliacha shule nikiwa primary school..
I use this when i wanna deal with fools, the dudes who are coming my way to complete my deals,the dudes who can't walk the swahili wayWaah! What an ironical statement. You don't want to be mentally colonized yet you have mastered their language in your head and youstill continue writing the same language even though in a broken way.