Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah,mnapingaga tuuUongo mtupu. Mnapika data sana.
Lazima wanye mavi...sisi kuongoza kanda hii ni muhimu kuliko kitu chochote... na hii ndo tamaa yetu ya waziUhuru Kenyata na makuwadi wao wanawewesekaweweseka tu kisa Tanzania inachanua.
Hivi tungekuwa kweli na hilo kundi tungelalamikia ukosefu wa sukari, ukosefu wa ajira. Au umeamua kujitoa ufahamu kichwani na ukaniuliza swali hilo!!!!!
Why a lot of tz beggers in Ke
Kama ni uongo tuletee utafiti wako ulioufanya🤨🤨
Help them then.Why a lot of tz beggers in Ke