Tanzania tops region in democracy index.

Bitter pill

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
917
Reaction score
781
TZ tops region in democracy index

thecitizen.co.tz

Feb 1, 2018 10:42 AM

In Summary

The Economist Intelligence Unit’s Democracy Index, whose 2017 edition was published this week, provides a snapshot of the state of democracy worldwide for 165 independent states and two territories.

[http://www]

Dar es Salaam. Tanzania is perceived as better off in democracy in East Africa after ranking top in the bloc’s Democracy Index 2017 ranking by the London based Economist Intelligence Unit.

The Economist Intelligence Unit’s Democracy Index, whose 2017 edition was published this week, provides a snapshot of the state of democracy worldwide for 165 independent states and two territories.

Tanzania was ranked high compared to other East African Community member states at position 91 out of 167 countries globally after scoring 5.47 points, lower than 5.76 points recorded in 2016 and 5.88 points in 2012. This was higher than the sub-Saharan Africa average score of 4.85 points and nearly equivalent to the world average score of 4.58 points.

It scored the highest on electoral process and pluralism at 7/10, political culture at 5.63/10. However, it scored lowly at 4.71/10 on civil liberties.

Kenya, which was ranked 95th globally became the second most democratic nation in East Africa after scoring 5.11 points last year, from 5.33 points during 2016.

The index shows that Uganda was ranked 98th globally, positioning itself at the third position in East Africa after scoring 5.09 points in 2017.

The three countries were categorised as hybrid nations as both Tanzania and Kenya held their elections that produced new leaders after every certain period. Uganda has however, remained under ‘One Man’ rule over the last 31 years.

The report shows that Rwanda, which is being categorised as authoritarian emerged at 133th position globally and fourth in East Africa. It scored 3.19 points on the 2017 index.

Burundi was ranked 153th globally after scoring 2.33 points.

The EIU Democracy Index 2017 has shown that Norway is the most democratic country in the world after scoring 9.87/10. It is full democratic country after scoring 10 points on electoral process and pluralism. It is followed by Iceland, New Zealand and Denmark.

The worst democratic country according to the report was North Korea, which ranked 167th. It was followed by Syria (166th), Chad (165th), Central African Republic (164th) and DRC at 163rd.

Where is Uhuru.?
 
This will close the debate on this issue.

Chadomo ukiwa watambue hiyo demokrasia wanaisifia ya Kenya, wataalam wa democracy wanasema we're better than them.
Na mseme wamehongwa kuipendelea Tz
 
Ukiwaona humu wanavyomsifia Kenyatta,utadhani wanajua kila kitu,kumbe zero brain. Alaf,tatizo lao hawataki kukubali kwamba tumewapita nyanja zote.
 
Hao hao waliokuwa wanawashawishi waitenge TZ kiuchumu kwa sababu ya kuminya Democracy, ndio walivyo fanya utafiti NA kumsafisha Magufuli NA CCM yake.

Ujumbe umfikie ndugu Lissu, Mungu amfanye unafuu kwa majeraha aliyoyapata
 
Kenya haijawahi kuipita Tanzania katika demokrasia hata mara moja tangu tupate uhuru, tena hata hiyo gap imekua ndogo kwa sababu ya Magufuli authoritarian way ya uongozi, huko nyuma tulikuwa tunawaacha mbali sana, tatizo lao ni mdomo zaidi na kujifanya wanajua kila kitu, kupitisha katiba mpya ndiyo walidhani wataifikia Tanzania nchi iliyozaliwa na kulelewa ndani ya demokrasia, Tanzania demokrasia ndiyo utamaduni wetu, hatuhitaji kuandikiwa katiba ndiyo tuanze kuishi kwa misingi ya demokrasia. TANZANIA HOYEEEEE
 
Angalia number of views, wanaupita Uzi kama hawajauona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
This will close the debate on this issue.

Chadomo ukiwa watambue hiyo demokrasia wanaisifia ya Kenya, wataalam wa democracy wanasema we're better than them.
Na mseme wamehongwa kuipendelea Tz
Bado yatabisha tu hayo makarai, ingawa wao ndio wa kwanza kuwasujudia wazungu na kizungu chao feki cha kuombea maji.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kenya haijawahi kuipita Tanzania katika demokrasia hata mara moja tangu tupate uhuru, tena hata hiyo gap imekua ndogo kwa sababu ya Magufuli authoritarian way ya uongozi, huko nyuma tulikuwa tunawaacha mbali sana, tatizo lao ni mdomo zaidi na kujifanya wanajua kila kitu, kupitisha katiba mpya ndiyo walidhani wataifikia Tanzania nchi iliyozaliwa na kulelewa ndani ya demokrasia, Tanzania demokrasia ndiyo utamaduni wetu, hatuhitaji kuandikiwa katiba ndiyo tuanze kuishi kwa misingi ya demokrasia. TANZANIA HOYEEEEE
Saa nyingine nikisoma vituko vya wakenya kusifia demokrasia yao nabaki nacheka tuu. Kwa wenzetu demokrasia ni ile ya wakubwa kubishana majukaani au bungeni au kwenye TV. Demokrasia inaanzia kwenye shina, inaazia kwa mwenyekiti wa mtaa, kwenye serikali za vijiji. Ukiacha kelele za waganga njaa, Tanzania ni nchi inayojitabuwa kidemokrasia. Hata wakati wa mfumo wa chama kimoja ndani ya chama kulikuwa na ushindani wa kidemokrasia katika kila maamuzi (wengi wape).
 
Mbilikimo gani ni merry kuliko mainline!!!!

Hii ya kushindanisha mbilikimo urefu ni kiini macho.
 
Kwa bahati nzuri, matukio mengi ambayo hutokea Kenya, utawakuta Watanzania wengi humu kwenye nyuzi tofauti wakisema, "Dah! Itatuchukua muda mrefu kuifikia Kenya kidemokrasia." au, "Tanzania kitu kama hicho hakiwezi kufanyika."

Mara nyingi, hizi zote huwa semi za Watanzania. I don't know whether they are used as a yardstick to measure our democracy????? Hhhhmmm..
 
Kenya haijawahi kuipita Tanzania katika demokrasia hata mara moja tangu tupate uhuru, tena hata hiyo gap imekua ndogo kwa sababu ya Magufuli authoritarian way ya uongozi, huko nyuma tulikuwa tunawaacha mbali sana, tatizo lao ni mdomo zaidi na kujifanya wanajua kila kitu, kupitisha katiba mpya ndiyo walidhani wataifikia Tanzania nchi iliyozaliwa na kulelewa ndani ya demokrasia, Tanzania demokrasia ndiyo utamaduni wetu, hatuhitaji kuandikiwa katiba ndiyo tuanze kuishi kwa misingi ya demokrasia. TANZANIA HOYEEEEE
Tanzania awamu hii hatuna demokrasia kabisa.Watu wanapotea wengine wameshambuliwa na watu wasiojulikana.Kenya wako mbali.Anglia jinsi polisi wao walivyotulia wakati Odinga alipokuwa anajiapusha.
 
Hahaha,my friend tunazungumzia demokrasia, na sio watu kupotea,Polisi waliondoka kuepusha mauaji,haihusiani na demokrasia, ndio maana waliizingira Uhuru park siku mbili kabla.pia,watu kupotea ni kawaida sana duniani,na sababu sio serikali, Mara nyingi unakuta watu wanauana kwa sababu za migogoro ya mtu mmoja mmoja. Hata watoto wadogo pia hupotea.ni hivi,naomba mtuambie mmetuzidi nn?
 
Tanzania awamu hii hatuna demokrasia kabisa.Watu wanapotea wengine wameshambuliwa na watu wasiojulikana.Kenya wako mbali.Anglia jinsi polisi wao walivyotulia wakati Odinga alipokuwa anajiapusha.
Sasa wewe kichwa chako ndiyo kipimo cha demokrasia duniani?, walioweka vigezo vya hiyo demokrasia unayoisema wewe ndiyo hao wanaosema hivyo kwamba tupo vizuri zaidi ya Kenya, au kichwa chako ndiyo kama cha Nabii Titto?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo matusi.Wewe naona hujui hata maana ya democracy.Kama huwezi kutoa maoni yako kwa uhuru ujue huna demokrasia.Ndio maana vyombo vya habari viikosoa serikali vinafungiwa.Huo utafiti watu wanautoa kwa maslahi yao.Hivi unaweza kuamini kuwa watanzania waliowengi eti walitaka chama kimoja?
 
Demokrasia gani inayominya uhuru wa watu kujieleza na kutoa maoni?

Demokrasia ya wapi watu wanaoikosoa mamlaka wanafunguliwa kesi za uchochezi?

Demokrasia ya wapi mtukufu anakanyaga katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya hadhara ilhali yeye na chama chake wanatumia majengo ya Umma kukijenga chama chao?

Labda Demokrasia ya mhimili uliyojichimbia ..
 
Hayo matusi.Wewe naona hujui hata maana ya democracy.Kama huwezi kutoa maoni yako kwa uhuru ujue huna demokrasia.Ndio maana vyombo vya habari viikosoa serikali vinafungiwa.Huo utafiti watu wanautoa kwa maslahi yao.Hivi unaweza kuamini kuwa watanzania waliowengi eti walitaka chama kimoja?
Sasa kama unapingana na vyombo vya dunia nzima, wewe hupaswi kuishi katika dunia hii, unapaswa kutafuta sayari nyengine ambako kuna watu wenye akili kama hizo zako, ila kwa hapa duniani tulikubaliana kutumia vigezo vilivyokubalika dunia nzima vitumike kama vipimo vya demokrasia, kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi kuzipanga nchi kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho, ila duniani nabii Tito wapo wengi sana, wanaotafsiri biblia vile kichwa chake kinavyompendeza na kutofautiana na dunia nzima lakini bado anajiona yupo sawa.
 
Hayo ya Nabii tuyaache maana hata hao wewe unaowaamini ni wanafiki na wanakaa kimya wakati katiba na haki za binadamu zinakiukwa.
 
Lakini sio kigezo cha kupingana na dunia nzima eti kwasababu tu wanakaa kimya, tatizo wewe unashindwa kuelewa dunia hii inavyofanya kazi ndiyo sababu nikakushauri utafute sayari ya kuishi. Vyombo vinavyopigania haki na demokrasia duniani ni tofauti na vyombo vinavyofanya utafiti na kutoa ripoti mbalimbali, hawa kazi yao ni kufanya utafiti na kuonysha hali ya demokrasia ilivyo duniani, ili wahusika watetezi wa demokrasia waende kusaidia na kupiga kalele katika nchi zinazokandamiza demokrasia, kama wewe ni mtu makini utakumbuka kwamba, Tanzania ilikatiwa msaada wa pesa za REA kutokana na matokeo ya uchaguzi Zanzibar kufutwa, pia hiyo rank yetu imeendelea kushuka mwaka hadi mwaka, hasa katika utawala huu wa Magufuli, lakini hiyo haina maana kwamba tunafanya vibaya zaidi ya Kenya, huko hali ni mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom