Tanzania tops region in democracy index.

Tanzania tops region in democracy index.

Hayo ya Nabii tuyaache maana hata hao wewe unaowaamini ni wanafiki na wanakaa kimya wakati katiba na haki za binadamu zinakiukwa.

Angalia polisi wa Kenya walivyovamia nyumbani kwa Miguna Miguna na kuvunja nyumbani kwake, hali hii hutokea karibu kila siku huko Kenya, acha kulinganisha Kenya na Tanzania katika demokrasia, tumewazidi sana.
 
Demokrasia gani inayominya uhuru wa watu kujieleza na kutoa maoni?

Demokrasia ya wapi watu wanaoikosoa mamlaka wanafunguliwa kesi za uchochezi?

Demokrasia ya wapi mtukufu anakanyaga katiba kwa kupiga marufuku mikutano ya hadhara ilhali yeye na chama chake wanatumia majengo ya Umma kukijenga chama chao?

Labda Demokrasia ya mhimili uliyojichimbia ..
Ndio hiyo demokrasia bora afrika mashariki
 
Kwa bahati nzuri, matukio mengi ambayo hutokea Kenya, utawakuta Watanzania wengi humu kwenye nyuzi tofauti wakisema, "Dah! Itatuchukua muda mrefu kuifikia Kenya kidemokrasia." au, "Tanzania kitu kama hicho hakiwezi kufanyika."

Mara nyingi, hizi zote huwa semi za Watanzania. I don't know whether they are used as a yardstick to measure our democracy????? Hhhhmmm..
Hao ni upinzani ambao hawakubali kitu chochote magu anafanya na hawana sera zaidi ya kuchafua nchi idiots
 
Hayo matusi.Wewe naona hujui hata maana ya democracy.Kama huwezi kutoa maoni yako kwa uhuru ujue huna demokrasia.Ndio maana vyombo vya habari viikosoa serikali vinafungiwa.Huo utafiti watu wanautoa kwa maslahi yao.Hivi unaweza kuamini kuwa watanzania waliowengi eti walitaka chama kimoja?
Hao unaosema wanatoa report kwa manufaa yao ..tunaomba ututajie hayo masirahi yao kwanza tujue wotee
 
Sasa kama unapingana na vyombo vya dunia nzima, wewe hupaswi kuishi katika dunia hii, unapaswa kutafuta sayari nyengine ambako kuna watu wenye akili kama hizo zako, ila kwa hapa duniani tulikubaliana kutumia vigezo vilivyokubalika dunia nzima vitumike kama vipimo vya demokrasia, kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi kuzipanga nchi kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho, ila duniani nabii Tito wapo wengi sana, wanaotafsiri biblia vile kichwa chake kinavyompendeza na kutofautiana na dunia nzima lakini bado anajiona yupo sawa.
Kama ripoti ilitolewa na watu wenye IQ, fikra na mtazamo kama wa kwako lazima #Tz iwe top on the list na siku zote ndio mtaji wenu.
 
Kama ripoti ilitolewa na watu wenye IQ, fikra na mtazamo kama wa kwako lazima #Tz iwe top on the list na siku zote ndio mtaji wenu.
Sasa wewe unataka tusiamini ripoti iliyokubaliwa na UN, wewe unapingana na UN, ni wazi upo kundi moja na nabii Tito.
 
Number 91 vs number 95 vs number 98 means Tanzania Kenya and Uganda all shit.. Some are better at one thing while others lead in other things and overall scores the same
 
Kwa uelewa wangu wa mitandao,kunakitu inaitwa garbage in garbage out,pale unapopata habari ambayo haijadhibitishwa chanzo chake,inakuwa ni tatizo mnapoanza kuijadili,mfano ishu ya jamaa kutumiwa salamu na Trump,na jinsi ambavyo waandishi wa habari wa TBC walivyo simamishwa muda ule,na ilitangazwa na chombo cha taifa,so for me,just because it was published by the citizen,and there is no evidence of the researchers,its rubish for me
 
Back
Top Bottom