Tanzania: Trader Namaro Energy corners fuel imports

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
The government's reorganisation of petroleum supplies has seen this company emerge as one of the most influential players in the sector.

Owned by the powerful Nahdi family, which has close ties to the government, the group has won the majority of recent tenders.

MY TAKE

Namaro Energy, inayohusishwa na familia ya Nahdi, na ambayo imeshinda idadi kubwa ya zabuni za hivi karibuni za kuagiza mafuta.

Kwa sasa Namaro ni miongoni mwa wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa zaidi katika sekta ya mafuta nchini Tanzania kwa sababu familia ya Nahdi ina uhusiano wa karibu na serikali Tanzania.

Je, Nahdi ni nani? Ana undugu gani na Samia?
 
Tanzania ni zaidi ya shamba la bibi
 
..hao ni wabia wa tiss kwenye kuibia nchi..wengine ni taifa group na makampuni yote ya simu!
Watanzania wapumbavu ndio wanaapishwa kutunza uchafu km huu km siri na wao wanakubali..ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!
 
Back
Top Bottom