kaputula
Member
- Mar 29, 2012
- 97
- 128
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC.
Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi na uongozi usiokidhi wananchi wa Congo wana chuki kubwa na Rwanda na kwa muda mfupi wanaweza kuharibu na kuleta maafa Rwanda kwa kutumia mizinga ya masafa marefu na missiles.
Nchi ndogo ya Rwanda inaweza kujikuta kumiminika watu wake kwenye mipaka ya Tanzania. watanzania hatuhitaji wakimbizi wenye hila mbaya na kisasi kisichoisha.
Pia wananchi wa Rwanda wa mbari ya kibantu ambao ndio wengi wanaweza kuchukua fursa kujikomboa toka ubeberu na ukaburu wa kitutsi na kuzuka mgogoro mkubwa kwenye mpaka na nchi yetu.
Kutokana na hivyo yafaa nchi yetu kujiandaa kuzuia wakimbizi wasiingie nchini kwetu wamalizane huko kwao maana hawa watu kazi yao imekua kuvusha matatizo yao nchi jirani.