Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

Wakimbizi ni raia wasio na silaha.Sasa utawazuiaje raia wasio na hatia? Hivi kwanini Rwanda huhusishwa na DRC. Jumuiya ya Africa Mashariki ikiwa nchi hizi zote ni wanachama wake,Kwa nini wasisuluhishe mgogoro huu wa DRC?
 
Hawa jamaa wanajiona wa maana sana na wa viwango vya juu.Shida inaanzia hapo,ukabila na ujuaji,
... NEOCON wa Marekani enzi zao zinaelekea mwishomwisho na kama mpaka sasa hawajajifunza kuishi vizuri na Waafrica wenzao basi wajiandae na maumivu! ... maana MLIMA WA MAFUVU HAUTASAIDIA HUKO TUENDAKO!
 
Wakimbizi ni raia wasio na silaha.Sasa utawazuiaje raia wasio na hatia? Hivi kwanini Rwanda huhusishwa na DRC. Jumuiya ya Africa Mashariki ikiwa nchi hizi zote ni wanachama wake,Kwa nini wasisuluhishe mgogoro huu wa DRC?
RWANDA, MAGWIJI, WANATAKA SULUHU?
😅
 
hivi vita siyo vya mnyarwanda wala mkongo,ni sehemu ya vita vya mabeberu katika kugombea rasmali na utajiri uliopo Africa.Kila kikundi kinapigania maslahi ya matajiri Fulani.Ni wakati wa kuamka kwa viongozi wetu wasitumike vibaya na mabeberu.Hawa wazungu Mbinu wanayotumia ni ya zamani sana ya Divide and rule(plundering and rooting)iliyoasisiwa na Lord Lugard.Bado wanaweza wakajichotea Mali bila vita na kusumbua wamama na watoto wasio na hatia...Hii ndiyo neo-colonialism....Wake Up Africa
Hata Kwa nchi zisizopigana vita, bado wanatesa wananchi wao kwa ukosefu wa huduma za kijamii na umaskini Kwa kugawa rasirimali za nchi zao bwerere kabisa huku zikinufaika familia za vigogo..i.e Dp W, maasai land and KIA
 
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC.

Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi na uongozi usiokidhi wananchi wa Congo wana chuki kubwa na Rwanda na kwa muda mfupi wanaweza kuharibu na kuleta maafa Rwanda kwa kutumia mizinga ya masafa marefu na missiles.

Nchi ndogo ya Rwanda inaweza kujikuta kumiminika watu wake kwenye mipaka ya Tanzania. watanzania hatuhitaji wakimbizi wenye hila mbaya na kisasi kisichoisha.

Pia wananchi wa Rwanda wa mbari ya kibantu ambao ndio wengi wanaweza kuchukua fursa kujikomboa toka ubeberu na ukaburu wa kitutsi na kuzuka mgogoro mkubwa kwenye mpaka na nchi yetu.

Kutokana na hivyo yafaa nchi yetu kujiandaa kuzuia wakimbizi wasiingie nchini kwetu wamalizane huko kwao maana hawa watu kazi yao imekua kuvusha matatizo yao nchi jirani.
Mbaya sidhani kama congo ame invest vya kutosha kuhusu ulinzi wa nchi yao, hawajajipanga , huwezi kusumbuliwa na miaka yote halafu hutaki kuwekeza kwenye kujilinda, nchi tajiri namna ile inashindwa kujipanga inavyoonyesha hata viongozi wa juu wa congo wananufaika na mgogoro huu kwa namna moja au nyingine
 
Katika viyu vizuri ambavyo binafsi namsifia Kagame toka ashike madaraka hajawahi zalisha wakimbizi toka Rwanda kuja Tanzania tofauti na tawala za kabla yake
Na wale maelfu wabantu wao wanawaita wahutu wako congo mashariki sio wakimbizi? Tofauti kagame aliwatimua au wenyewe kukimbia kama wakimbizi maelfu ya watu kwa mara moja. Kisha jeshi lake likawafuata huko congo kuwamaliza. Ilibidi wazidi kutokomea ndani zaidi ya congo kujinusuru maisha yao.
 
Kama hawataki suluhu, Waondolewe kwenye Jumuiya ya Africa Mashariki na Sheria za kimataifa kuhusu mipaka ichukue mkondo wake. Ikiwa Rais Kagame hataki kuheshimu mipaka ya nchi jirani.
 
Rwanda watu wenye tamaa na ndiomana kaka zetu waliooa huko wote wameangukia pua..!!
Ni kutokuijua Tz vizuri hivi kweli unaenda kuoa Rwanda eti kwa ajili ya uzuri, hivi wameshindwa kutembele Babati kwa wairaq, wambugwe na wafyomi, Mbulu kwa wairaq, Kondoa kwa Warangi, Singinda kwa wanyiramba, wanyaturu wataturu na wanyisanzu halooo! Haya maeneo yana viumbe ndugu zangu piteni huku hukuna haja ya kwenda Ethiopia, Rwanda au Erteria nenda sehemu inaitwa Dongobeshi Mbulu ukute watoto wana nywele hadi mgongoni tena za asili no mkorogo.
 
HATARI! Tshekedi ameanza kuokoteza vijana kuwaingiza jeshini kukomboa eneo la mashariki.
 
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC.

Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi na uongozi usiokidhi wananchi wa Congo wana chuki kubwa na Rwanda na kwa muda mfupi wanaweza kuharibu na kuleta maafa Rwanda kwa kutumia mizinga ya masafa marefu na missiles.

Nchi ndogo ya Rwanda inaweza kujikuta kumiminika watu wake kwenye mipaka ya Tanzania. watanzania hatuhitaji wakimbizi wenye hila mbaya na kisasi kisichoisha.

Pia wananchi wa Rwanda wa mbari ya kibantu ambao ndio wengi wanaweza kuchukua fursa kujikomboa toka ubeberu na ukaburu wa kitutsi na kuzuka mgogoro mkubwa kwenye mpaka na nchi yetu.

Kutokana na hivyo yafaa nchi yetu kujiandaa kuzuia wakimbizi wasiingie nchini kwetu wamalizane huko kwao maana hawa watu kazi yao imekua kuvusha matatizo yao nchi jirani.
ungeniambia south africa itapigana na rwanda ningekuelewa. ila kusema congo ipigane na rwanda wakati wanajeshi wake wamekimbia m23 na suruali mkononi wakaenda kuomba hifadhi rwanda, hao wacheza ndomboloo hawana lolote.
 
Unazuia leo wakati wamo serikalini na ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi ndugu.

Recall kauli ya General mstaafu, unakumbuka shuka kushakucha. Hapa ni kuomba mungu lisisanuke maana wale huwa hawaachi asili yao hata kama mi miaka 200.
 
Dunia ya Wastaarabu ni kukaribisha wakimbizi kila wanapotokea (akufaae kwa dhiki) ila busara ndio hivyo kuhakikisha majanga kama haya hayatokei sababu mchuma janga sio tu kwamba anakula na wa kwao bali na wengine pia...
 
Unazuia leo wakati wamo serikalini na ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi ndugu.

Recall kauli ya General mstaafu, unakumbuka shuka kushakucha. Hapa ni kuomba mungu lisisanuke maana wale huwa hawaachi asili yao hata kama mi miaka 200.
Ni ya jenerali wa sasa
 
Survive ya Rwanda iko at nutshell, kama Waafrika wenzetu na kama member wa EAC tunawaonea huruma , ila hatuna namna. Iko dalili Rwanda ikapigwa Mande. Na ninaona wapinzani wa Rais Kagame wanautumia mwanya huu na raia wengi wana chuki kwa kuwagawa kikabila na kupora madaraka kwenye sanduku la kura. Mgawanyiko ndani ya nchi huooo. Jeshi pamoja na nidhamu lkn raia waliokosa uhuru wa kujieleza naona watumia mwanya huu kama fursa .
Bye bye PK tulikupenda lkn hakuna namna. Sumu haionjwi kwa kulamba
 
hivi vita siyo vya mnyarwanda wala mkongo,ni sehemu ya vita vya mabeberu katika kugombea rasmali na utajiri uliopo Africa.Kila kikundi kinapigania maslahi ya matajiri Fulani.Ni wakati wa kuamka kwa viongozi wetu wasitumike vibaya na mabeberu.Hawa wazungu Mbinu wanayotumia ni ya zamani sana ya Divide and rule(plundering and rooting)iliyoasisiwa na Lord Lugard.Bado wanaweza wakajichotea Mali bila vita na kusumbua wamama na watoto wasio na hatia...Hii ndiyo neo-colonialism....Wake Up Africa
Wanasiasa wanakwambia huu mgogoro hauwezi kuisha maana wanautumiaga kuingia madarani Congo
 
Back
Top Bottom