star brand
New Member
- Oct 14, 2019
- 2
- 1
Tanzania ni mojawapo ya nchi chache zenye kila aina ya rasilimali ila bado imekua masikini na inasua sua kiuchumi,yafwatayo yanatakiwa kurekebishwa ili taifa hili liendelee.
Uhuru wa vyombo vya habari: Bado sijaona uhuru wa kuhabarisha uma kwa vyombo vyetu vya habari, huenda ikawa ni utashi wa waandishi kuchagua upande ila naimani hawapo huru kuzungumzia mambo yanayoikosoa serikali kama vile taarifa za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka pia kuripoti kikamilifu mawazo na michango ya viongozi wa vyama pinzani, naona vyombo vyote vimekuwa upande wa kusifia tu.
Kumpunguzia raisi mamlaka za kiuteuzi kwa baadhi ya watumishi wa umma: Raisi asiteue majaji wakuu wa mahakama za rufaa na mahakama kuu ili kuondoa uwezekano wa watumishia hawa kufanya kazi kimaelekezo badala ya kiweledi jambo linalosababisha kutopatikana haki kwa wale ambao watakua wakosaji na ni marafiki wa raisi,na kuwakandamiza wale ambao pengine si watuhumiwa ila wana uhasama wa raisi, pia mamlaka makubwa ya raisi na kinga ya kutoshitakiwa inapekelea kuendesha nchi kama mali binafsi na kuingiza taifa hata kwenye madeni, ubadhilifu na mikataba isio na tija kwa tanzania ya sasa na ya baadae

Upvote
2