HARUNI IDDI
Member
- May 31, 2024
- 8
- 3
Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania.
Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information systems version two (DHIS2), Health management information systems (HMIS), also " Facility financial accounting and report system (FFARS) Electronic logistics management information systems (ELMIS) Government of Tanzania hospital management information systems (GoTHOMIS).
Mifumo ya Tehama katika sekta ya Afya ni muhimu kuwa inasomana ilikuweza kuhamisha taarifa za wagonjwa kutoka kituo kimoja kwenda kituo kingine ili kuweza kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa watanzania.
Ili kuboresha utoaji wa huduma na za afya na kuunganisha mifumo ya tehama katika sekta ya Afya ni muhimu kwa wizara ya Afya kwa kushirikia na wizara ya ofisi ya raisi tawala za mikoa na serekali za mitaa ( TAMISEMI). Kushirikiana kwa sababu Kuna vituo vya kutoa huduma za afya vipo chini ya TAMISEMI na baadhi vipo chini ya wizara ya Afya.
Ambapo kuanzia ngazi ya zahanati mpaka ngazi ya hospitali za wilaya zipo chini ya TAMISEMI na kuanzia ngazi ya hospitali za mikoa na hospitali za Rufaa za kanda na hoptali ya taifa.
Baadhi ya faida Ambazo zinaweza kujitokeza kutokana na mifumo ya Tehama katika sekta ya Afya ikisomana;
1. Kutopotea kwa kumbukumbu na taarifa za wagonjwa
2. Mgonjwa naweza kuhakuhama na taarifa zake kutoka kituo kimoja mpaka kituo kingine
3. Kuongezeka kwa mapato katika vituo vya kutolea huduma za afya
4. Kuongeza uwazi na kupunguza vitendo vya rushwa
5. Kupunguza msongamano wa wagonjwa mahospitalini
Ili mifumo ya Tehama katika sekta ya Afya isomane ni muhimu kuwepo na mambo yafuatayo;
1.serekali kutenga fedha za kutosha katika bajeti kupitia wizara zote mbili ilikuweza kupata mifumo inayosomana.
2. Kutafuta wasabuni ambao wanaweza kuunganisha mifumo hii ili iendane na mazingira ya Tanzania.

Upvote
2