SoC04 Tanzania Tuitakayo: Sera Ya Matumizi Ya DashCam

SoC04 Tanzania Tuitakayo: Sera Ya Matumizi Ya DashCam

Tanzania Tuitakayo competition threads

hiddenb1

New Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
2
Reaction score
1
UTANGULIZI:
Kumekuwa na mtafaruku haswa inapotokea Ajali iwe barabarani au mtaani kutokana uzembe wa dereva na kusababisha madhara fulani, lakini kukawana uzito katika kutoa Adhabu kutokana na kutokuwa na ushahidi kamilifu kitendo kinachopelekea upendeleo kwa mtu aliehusika na uzembee huo

SERA YA MATUMIZI YA DASHCAM KATIKA MAGARI

Moja ya suluhu juu ya jambo la upatikanaji wa ushahidi au taarifa tosha katika kuleta usawa pindi afisa wa usalama atakapo taka kutoa Adhabu kwa wahusika ni matumizi ya Kamera au dashcam katika magari ambazo hutumika kurecord matukio yote pindi gari inapofanya matembezi au ikiwa ipo parking

Jambo hili litasaidia kuondosha usumbufu kwa maafisa usalama pindi litakapotokea gogoro lolote kwa kuwa kuna taarifa za kutosha ikisaidiana na uwepo wa kamera za cctv pamoja na matumizi ya bodycam kwa maafisa usalama

Pili, uwepo wa kamera katika gari itasaidia kukamatwa waharifu na uharifu kwa ujumla kwa kuwa itaweza record matukio yote hata gari ikiwa ipo parking

Hivyo bhasi matumizi ya kamera ama dashcam ni muhimu na ikiambata na sera iliyo kuwa thabiti na atakaye kiuka adhabu kali itamuhusu
 
Upvote 1
Back
Top Bottom