khalifa kabeke
New Member
- Jun 21, 2024
- 1
- 1
UTANGULIZI:
Uzalishaji Wa Ndani ni Uzalishaji ambao ,unaohusiana Matumizi binafsi , ukuaji binafsi katika uwekezaji ,uwekezaji wa Serikali Matumizi ya Serikali Kutoka na kuingiza bidhaa ndani ya nchi Mfano: uwekezaji wa Serikali katika sekta na miradi mbali mbali Viwanda, biashara n.k ili Kukuza uchumi wa nchi. Matumizi ya Serikali ni Nahitaji Yote Ambayo Serikali Hufanya Kwa kipindi Cha mwaka mzima aidha Kwa kutumia fedha za ndani ya nchi au za mkopo au msaada kutoka katika mashirika mbalimbali duniani.
Tanzania Tuitakayo katika Kukuza na Kuongeza zaidi shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji Ndani , Matumizi ndani ya nchi ni Kwa sababu zifuatazo
1. KULINDA SOKO LA NDANI NA KUONGEZA KIPATO KWA WANANCHI: Ikiwa Serikali itazidi Kuongeza Shughuli Za Kiuchumi na Uzalishaji Ndani ya nchi na Matumizi yake haswa Kwa bidhaa zetu wenyewe na kutumia pesa ya Serikali,wafanya biashara mbali mabli kununua bidhaa za ndani hii ni fursa Kwa wachuuzi wakubwa na wadogo katika kujipatia Kipato ilikuweza kuendesha maisha Yao na shughuli mbali mbali za kijamiii hivyo .Vijana wataingia katika shughuli za Uzalishaji hivyo kupunguza wimbi Kubwa la vijana kusubiri ajira kutoka Serikali na kuweza kuchangia katika Kukuza na Kuongeza na Kukua Kwa Pato la Taifa
2. KUONGEZEKA KWA THAMANI YA PESA NCHINI :Katika mnyororo wa Kukua Kwa thamani ya pesa Dunianj inatokana zaidi Kwa nchi kuweza kufanya Matumizi zaidi ndani ya Nchini ;Kwa Sasa Serikali inatumia pesa nyingi sana ikiwa inataka kufanya manunuzi au Matumizi nje ya Taifa Kwa kubadilisha pesa yetu Kwenda kwenye thamani ya pesa za kigeni hivyo Serikali inatumia bilioni za shilingi kutumia kuagiza bidhaa au manunuzi lakini hayo Kwa kiwango Kikubwa yangefanyika ndani ya Nchini litasaidia Kukua Kwa Kwa thamani ya pesa yetu kwa kuwa shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji zitakuwa za kutosha tutatumia pesa kidogo na thamani yake Itakua Kila siku .
3. KUFUNGUKA ZAIDI KWA MASOKO YA NJE YA NCHI (KIMATAIFA)NA KUPUNGUA KWA KUINGIZA BIDHAA KWA KIWANGO KIKUBWA NCHINI;Katika Kukua Kwa uchumi yoyote duniani ikiwa utakuwa na kiwango Kikubwa Cha uingizaji zaidi wa bidhaa ndani ya nchi yako ni hatari zaidi katika Kukua Kwa uchumi hataukiangalia katika taakwimu za dunia nchi ambazo zenye uchumi mkubwa zinakiwango Kikubwa Cha kuzalisha na kutoa bidhaa nje ya Nchi yako Mfano china ,U.S.A ,Japan, n.k ;Lakini ikiwa Serikali itaweza Kuongeza Shughuli Za Kiuchumi Na Uzalishaji Wa Ndani kiwango Cha kuingiza bidhaa kitapungua na itafungua mlango wa nchi kutafuta na kupata masoko ya kimataifa .
4. KUPATIKANA KWA PESA ZA KIGENI ,KUKUA KWA WATALII NA KUIMARIKA KWA HUDUMA ZA KIJAMII:Tanzania Tuitakayo ikiwa Serikali imeimarisha shughuli za Kiuchumi na Uzalishaji Ndani Matumizi ndani ya nchi halikadhalika miondombinu mbalimbali Itakuwa katika hali nzurii Mfano Barabara ,umeme,usafirishaji wa ardhini ,angani,n.k na vilevile Huduma za kijamiina watalii huvutiwa zaidi Kwenda sehemu ambazo wataweza kujifunza vitu vipya ,mbinu taratibu, hatua zilizochukuliwa na nchi, jamii kukuendeleza na Kukuza uchumi wao lakini pia huangalia usalama wao pindi watakapokuwa wakifanya utali je miundombinu ni wezeshi n.k ;Lakini Kwa kipindi Serikali imekuwa ikapambana na Changamoto ya kupungua Kwa upatikanaji wa pesa za kigeni haswa USA dalla suala hili linasababishwa na kuwa na shughuli chache za Kiuchumi ambazo wafanyabiashara wandani kufanya Matumizi Yao nje ya Nchi lakini wafanyabiashara wakimataifa kushindwa kununua bidhaa kwetu Kwa kiwango Kikubwa lakini inatufanya sisi kama nchi tuweze Kwenda kuagiza bidhaa. Ambazo kunauwezekano wa kuzalishwa ndani ya nchi yetu tunatumia pesa nyingi kubadilisha Kwa thamani zao lakini tukizalisha Kwa wingi na Kwa tija na Kukuza shughuli mbalimbali za Kiuchumi watakuja tutajipatia pesa kigeni kutakuwa hakuna upungufu n.k
HITIMISHO: Tanzania Tuitakayo Ni nchi ambayo Itakuwa maradufu shughuli za kuichumi Kwa Kasi haswa katika kudhibiti na kukinda soko la ndani ya nchi; hakuna nchi ambayo Pato lake la Taifa ni Kubwa Kwa kuingiza bidhaa Kwa wingi ndani ya nchi yake; Leo katika nchi ikiwa inategemea zaidi ya asilimia 40% kutoka Kwa watumishi kama chanzo Cha mapato hiyo ni hatari katika Kukua Kwa Pato la Taifa hivyo Serikali inatakiwa Kukuza na kuendeleza shughuli mbalimbali za Kiuchumi na Uzalishaji ili kupunguza hata janga la wasomi kutegemea ajira ya Serikali na kufuta dhana hiyo haitakuwa rahisi ikiwa uhitaji kijana kama kijana au msomi bila kushirikiana nae na kuandaa mikakati wezeshi ambayo itampa fursa ya yeye mwenyewee vijana siyoo kutegemea ajira tu kujipatia Kipato chake ili Pato la Taifa liwe juuu Lazima biashara ,Viwanda uwekezaji binafsi ,uwekezaji wa Serikali Lazima Uwe mkubwa Sasa hiii ndiyoo Tanzania Tuitakayo baada ya miaka 5,10,15,20,25 ijayo .
Alkamallulliah

Upvote
3