Well said, tukiimarisha hata vyanzo vilivyopo tu...tunaweza kupata umeme wa uhakika? je tumeshatumia vizuri tulichonacho? nafikiri ili uanze kufikiri nuclear inatakiwa kwanza uwe na mahitaji makubwa kutokana na development progress uliyo nayo..sisi tuna viwanda tumefikia hapao?..yaani na uzembe unaondelea hapa mnataka muwe na mitambo ya Nyuklia?!
..tumeishafikiria jinsi gani tuta-deal na vitu kama Nuclear waste au ndiyo tutaenda kuzibwaga dumpo la Tabata au Ferry Magogoni?
..je, tuna uwezo wa kukabiliana na ajali ktk mitambo ya Nyuklia? ajali ndogo-ndogo za moto kwenye mabweni ya wanafunzi zinatushinda kukabili, leo tunataka madubwana ya hatari kama Nyuklia plants.
Kwa bahati nzuri au mbaya matatizo hayo yote uyasemayo yanahitaji pesa. Katika hali ya uchumi ulivyosasahivi hutoweza kutatua uhaba wa walimu uliopo katika shule zetu, uhaba va vifaa vya kufundishia na uhaba wa chakula katika mashule. Halikadhalika katika Kilimo na Afya.Mkuu Zawadi Ngoda, you are hovering on the brink of misguided objectives.Come down to earth na pambana na matatizo ya nayokusibu ya elimu,afya umasikini na ufisadi.
Zawadi,
Huwa nafurahi kukusoma na zaidi natambua kuwa unatumika kama baragumu kupaza sauti.
Unadai tuwaunge Mkono Iran kuhusiana na mpango wao wa Nyukilia , lakini husemi ukweli kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uranium yetu ambayo tumelipwa madawa ya kulevya!
Unachofanya ni kuanza kujihami mapema eti tuwaunge mkono, lakini ukweli ni kuwa sisi ndio tunaowapa hiyo Uranium tangu walipokuja kulima mpunga Rufiji miaka ile na zaidi ni ile ziara ya makamu wao wa Rais mwaka jana.
Sasa kwa kuwa ya Chenge yamebainisha kuwa ukiweka fedha benki utakamatwa, basi malipo yetu si yale madawa ya kulevya ambayo hakuna paper trail ambayo jamaa huja kujichukulia Uranium yao kwa viboti vya uvuvi pale Kurasini, Mbagala na Kigamboni na kutushushia madawa machafu na hilo lina baraka za wakubwa kadhaa ndani ya Serikali.
Mtafute Nawab, Baghdad, Adamu na Rostam ambao ndio washika siri waulize kule beach front kuna kitu gani kinaendelea!
Tumeimarisha umeme kutumiavyanzo vya maji, majibu yake ni Mgao bara na Zanzibar. Tumetumia Dizeli, shukurani yake ni mgao. Sasa wengine wanazungumzia Makataupepo, sijui tutafika wapi. Na wakati huo huo tunazungumzia Gesi, sinamatumaini. Kuna tetesi za umeme wa jua na ule wa kutumia mawimbi ya bahari.Well said, tukiimarisha hata vyanzo vilivyopo tu...tunaweza kupata umeme wa uhakika? je tumeshatumia vizuri tulichonacho? nafikiri ili uanze kufikiri nuclear inatakiwa kwanza uwe na mahitaji makubwa kutokana na development progress uliyo nayo..sisi tuna viwanda tumefikia hapao?
Dawa za kulevya ni tatizo la dunia. Toka Kolumbia hadi Amstadam, Afganistan mpaka Rusia, Iran mpaka Marekani, n.k. Hata Iran wenyewe wameathirika na matatizo ya madawa ya kulevya, halikadhalika China.Zawadi,
Huwa nafurahi kukusoma na zaidi natambua kuwa unatumika kama baragumu kupaza sauti.
Unadai tuwaunge Mkono Iran kuhusiana na mpango wao wa Nyukilia , lakini husemi ukweli kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uranium yetu ambayo tumelipwa madawa ya kulevya!
Unachofanya ni kuanza kujihami mapema eti tuwaunge mkono, lakini ukweli ni kuwa sisi ndio tunaowapa hiyo Uranium tangu walipokuja kulima mpunga Rufiji miaka ile na zaidi ni ile ziara ya makamu wao wa Rais mwaka jana.
Sasa kwa kuwa ya Chenge yamebainisha kuwa ukiweka fedha benki utakamatwa, basi malipo yetu si yale madawa ya kulevya ambayo hakuna paper trail ambayo jamaa huja kujichukulia Uranium yao kwa viboti vya uvuvi pale Kurasini, Mbagala na Kigamboni na kutushushia madawa machafu na hilo lina baraka za wakubwa kadhaa ndani ya Serikali.
Mtafute Nawab, Baghdad, Adamu na Rostam ambao ndio washika siri waulize kule beach front kuna kitu gani kinaendelea!
Mkuu Zawadi, hapo ndio maana naona you are in another plane altogether.Kwa bahati nzuri au mbaya matatizo hayo yote uyasemayo yanahitaji pesa. Katika hali ya uchumi ulivyosasahivi hutoweza kutatua uhaba wa walimu uliopo katika shule zetu, uhaba va vifaa vya kufundishia na uhaba wa chakula katika mashule. Halikadhalika katika Kilimo na Afya.
Nishati ya umeme ni muhimu sana katika kukuza uchumi wetu.
.........................
Siamini kuwa eti tusubirio mpaka matatizo yetu yote yawe yamekwisha ndio tuanze na Nucxlear power. Hayo ni mawazo finyu, kwani matatizo hata siku moja hayaishi. Tunaweza kwenda samba huku tukitatua matatizo tuliyonayo na wakati huo huo tukashughulikia hili na Nuclear power.
Mkuu Zawadi, hapo ndio maana naona you are in another plane altogether.
Nishati ya nuclear si kama kutengeneza bwawa la Mtera na maji kutiririka.
Mtaji mkubwa wa nishati ya nuclear ni wasomi wa kutosha kuendesha vinu hivyo vya nuclear.
Hivi ni vinu vya kisomi.
Na usomi wenyewe lazima uanzie katika elimu.
Hivi Tanzania tuna mafundi mchundo wangapi katika hii field ya nuclear.Wahandisi na wana sayansi je?
Ni kujidangaya kurukia mambo ambayo hatuna uhakika nayo-sembuse kushabikia nchi ambazo hatujiu malengo yake kama Iran.
Ushabiki katika masuala kam haya yanawezekana tu katika debating clubs na si kwingineko.
Ungejua knowledge iliyoko kwenye hizo lugha kiarabu na kipersia..wala usingeacha kutafuta hiyo knowledge be it history of the world, science etc...poor (mwafrica) always anapendelea his slave masters language..ha ha ha..Zawadi Ngoda ni mmoja kati ya watu wanaoutumia muda wao mwingi kujifunza kiarabu na kipersia? (lugha ya wairani) so usitegemee atakuwa na muda wa kujiuliza maswali magumu kama haya.
Ungejua knowledge iliyoko kwenye hizo lugha kiarabu na kipersia..wala usingeacha kutafuta hiyo knowledge be it history of the world, science etc...poor (mwafrica) always anapendelea his slave masters language..ha ha ha..
Hivi we Gift Kigoda, umeshatumia resources zote ulizonazo na zikaisha mpaka uanze kufikiri kutumia Nyuklia.??? why dont you think of Solar plants, wind turbines, high tides..etc. Do you actually know what it means by having nuclear plants..??? Unakumbuka Hiroshima Japan...??? Unaweza kuhendo ajali ya nyuklia...??? Kwa kawaida mtoto anaanza kukaa halafu kutambaa and then kusimama na mwisho kutembea. Mafuta tu ya Zenji angalia mnavyokoromeana......... na hapo bado haijulikani kama yapo.Kwa bahati nzuri au mbaya matatizo hayo yote uyasemayo yanahitaji pesa. Katika hali ya uchumi ulivyosasahivi hutoweza kutatua uhaba wa walimu uliopo katika shule zetu, uhaba va vifaa vya kufundishia na uhaba wa chakula katika mashule. Halikadhalika katika Kilimo na Afya.
Nishati ya umeme ni muhimu sana katika kukuza uchumi wetu. Huwezi ukatamba eti ninawaita wawekezaji wakati una umeme wa mgao. Unajua gharama ya kiwanda kutofanya kazi kwa siku moja kwa ajili ya ukosefu wa umeme? Katika nchi zilizoendelea mashirika kama Tanesco yanawajibika kuwalipa, tena kwa riba viwanda pale mashirika hayo yanaposhindwa kugawa umeme. Hii ni kwa kutambua umuhimu wa mkataba kati ya mtumiaji na mtoaji wa umeme.
Siamini kuwa eti tusubirio mpaka matatizo yetu yote yawe yamekwisha ndio tuanze na Nucxlear power. Hayo ni mawazo finyu, kwani matatizo hata siku moja hayaishi. Tunaweza kwenda samba huku tukitatua matatizo tuliyonayo na wakati huo huo tukashughulikia hili na Nuclear power.
You sound like technically you know nothing about UMEME WA JUA and other electrical power sources. Do you know that 240V at 200A is the same whether is coming from solar, wind, diesel, nuclear or chemicals etc..??? There nothing like umeme dhaifu or wenye nguvu. The issue is equipments capacitiesTumeimarisha umeme kutumiavyanzo vya maji, majibu yake ni Mgao bara na Zanzibar. Tumetumia Dizeli, shukurani yake ni mgao. Sasa wengine wanazungumzia Makataupepo, sijui tutafika wapi. Na wakati huo huo tunazungumzia Gesi, sinamatumaini. Kuna tetesi za umeme wa jua na ule wa kutumia mawimbi ya bahari.
Hebu tuanze na makataupepo: Ndugu zanguni sipendi kuwakatisha tamaa, lakini kwanza hakuna nchi hata moja duniani, hususan hizo zilizoendelea ambazo zinatumia angalau 15% ya umeme wake toka hayo makataupepo. Hii hutumika kama kijazilizo tu na si kama muhimili tegemezi wa umeme.
Umeme wa Gesi: Rusia ndio inaongoza kwa utoaji wa Gesi duniani lakini umeme wa Gesi inayotumia haizidi hata 5% ya umeme wa nchi. Ninawasiwasi kama wanaotuambia hivyo wanania ya kutusaidia au ndio ile mbinu ya "Buy time".
Umeme wa jua: Huu ni umeme dhaifu sana, sana sana unafaa kwa matumizi binafsi, kama taa, TV, Jokofu n.k. Isitoshe bado unategemea kudra za Mwenyeezi Mungu na ni ghali. Kifupi wazo hili si practicle.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba njia hizo zote nilizozitaja hapo juu pamoja na nyingine uzijuazo ama ni ghali ukilinganisha na ule wa Nuclaer au sio practicle kutokana na uwezo wake mdogo kwa matumizi ya viwanda. Na ndio maana hata wale wagunduzi wake hawautumii kutokana na gaharama zake kuwa kubwa.
Mnakumbuka tulipojenga kidatu, mayowe ya wanasiasa yalikuwa makubwa sana. Huku wakidai kuwa umeme tuliokuwa tunautumia ni 30% tu, na leo hii tunaambiwa tatizo jingine kabisa. Lazima tuelewe kuwa maendeleo ya uchumi hayaletwi kwa execuses.
Viwanda vya kutumia umeme huo tunavyo, kama kuna mwenye hofu na maedeleo ya viwanda vyetu. Tena tukiwa na umeme wa kueleweka, utaona jinsi wawekezaji watavyomiminika. Na ni kwa sababu hizo ndio maana wawekezaji wamewekeza zaidi katika nchi kama China, Rusia, India n.k.
Ukiprocess mafuta ya Nuclear mpaka 5%, unapata umeme na si hatari sana kama ukiprocess mafuta hayo kwa kiwango cha kupata Bomu. Kwa hiyo katika level tuliyonayo tunaweza kabisa kujikita katika usalama wake.
Mzee, anapokuwa na mpango huo, lazima aseme kuwa atatumia kiamani. Akishaweka, hapo ndo mtajuwa alikuwa na nia gani.sawa kaka nimekubaliana nawe!! kwa matumizi ya amani, naunga mkono, ila Iran wanapojaribisha "mitambo" yao kwa kupiga miziga yao hapo kidogo inatisha!!
ila kwa upande wa kuzitumia kiamani, nakuunga mkono kabisa mshimiwa, ili ni tatizo sugu(power rationing), na ufumbuzi ni nuclear energy tu!!
You sound like technically you know nothing about UMEME WA JUA and other electrical power sources. Do you know that 240V at 200A is the same whether is coming from solar, wind, diesel, nuclear or chemicals etc..??? There nothing like umeme dhaifu or wenye nguvu. The issue is equipments capacities
Unajuwa mzee hapa duniani UNAPOTOA MAELEZO YA KITU USICHOKIJUWA NDIVYO UNAVYOZIDI KUONYESHA USIVYOJUWA.Ngalikihinja,
Asante sana kwa kuendeleza shule. Taratibu tu Zawadi Ngoda atajua umuhimu wa elimu dunia na matumizi yake.