Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Status
Not open for further replies.
Utakuta hata Lisu nae anamtazamo huu huu na anajiandaa kuja kuapishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205]
 
Sisi tuna demokrasia na mifumo mizuri ya nchi kushinda wao hawawezi kutusumbua, washughulikie matatizo yao, ya kwetu yako ndani ya uwezo wetu
 
Hii inferiority complex tutakuwa nayo mpaka lini? Inaonekana hatujataka kujitawala! Au ndiyo maana Lissu anawachumbia wakoloni warudi?
Ujitawale KWA lipi wewe, mbona mnapenda maneno ya ushabiki Sana,ambayo yapo juu ya uwezo wenu,
Taifa lolote ili kupiga au songa mbele lazima pawepo na ushirika mzuri na nchi zingine,bila kujali uchumi wako unakiwango gani.

So kwa dunia ya leo hakuna nchi yenye kujitawala nyenyewe kwamba yajitosheleza kitu, sasa tz tuna nini mpaka tuwe na maneno ,vijembe, eti inferiority complex, mpaka lini, ebo taifa si mji wa mtu mmoja, linaitaji kusimama KWA vizazi vijavyo, kujifanya wababe KWA Mambo yanayo gusa taifa moja kwa moja tutaumiza taifa.
 
Kesi ya ICC imefikia wapi?
Mnatapatapa sana eti!!
 
Acha uongo! Democrats wameiba kura wapi? Trump alifungua kesi 62 kuhusu wizi wa kura hakuwa na ushahidi hata chembe wa kuthibitisha madai yake mahakamani hivyo kesi zake zote zikapigwa chini.
Hawa democrats kama wa kijani?

Kila mmoja anashutuma ya Wizi wa kura

Sijui unawaongelea wepi?
 
Acha uongo! Democrats wameiba kura wapi? Trump alifungua kesi 62 kuhusu wizi wa kura hakuwa na ushahidi hata chembe wa kuthibitisha madai yake mahakamani hivyo kesi zake zote zikapigwa chini.
Chadema walifungua kesi ngapi wakawa na ushahidi kuwa waliibiwa kura?
 
Hujui kama uporaji wa kura za Urais hauruhusiwi kufunguliwa kesi mahakamani? Hata kama ingeruhusiwa kwa mahakama zipi? Hizi zilizowekwa mfukoni na huyo anayejiita mwendawazimu!? 😳 JIONGEZE!
Chadema walifungua kesi ngapi wakawa na ushahidi kuwa waliibiwa kura?
 
Nyie wa pinzani ni maskini wa akili na kwa taarifa yako mnaenda kupotea jumla na huyo Joseph Robinette Biden (Baɪdən)-wait for a good opportunity before doing something or a bitch

USA is not a democratic country to be a role model state by african countries

There are eight groupings in the USA that will cause the country to be torn apart within four years to come and it is exposed to terrorist attack.
1. White people originating from Europe (EU countries)
2. White people originating from Russia and Germany
3. White people originating from UK & Australia
4. Jewish and Hebrews originating from middle east
5. Asians originating from middle east and far east
6. Asians originating from India, Pakstani and Afaghanstan
7. Asians originating from China, Korea (N/S), Vietnam, Singapore, Malaysia
8. Africans as africa descedants and migrant from africa
9. Latino/Italian Americans

The above mentioned groupings will be in a deadly frictions in two years to come whereas each contending for superiority status appealing to be respected as a result advertent hate speech and lethal assault to surface across rival stronghold staining records in human rights violations.

Mr. Biden a 78yrs old and a one term president won't destabilize the USA interests to Tanzania despite your evil campaigining for sanctions imposition that neither won't be proposed nor the international relationship staggered.
 
Tunajiandaa kwa kuanza kuombaomba, kama tulivyoomba kwa waziri wa China. Yaani mkulu wetu anaombaomba kwa waziri?
 
Unaota ndoto za mchana. Hakuna awezaye kuua UPINZANI Nyerere aliupiga marufuku kikatiba, kwa miaka 30, lakini ulipofunguliwa tu ukaumuka utazania ulikuwepo siku zote. Upinzani uliongeza presence yake kila miaka 5, mpaka ulipozimwa kwa wizi wa kura 2019 na 2020. Angalau Nyerere alikuwa mstaarabu kwa kubadili katiba. Magufuli na ccm yake ni vibaka wa demokrasia na katiba. Hamna tofauti na wezi wa kuku mtaani.

Huo utabiri wako kuhusu Marekani sijui umeokota wapi. Baada ya Neo-cons kuchemsha kipindi cha Bush, wamarekani walimweka madarakani Obama ili arekebishe uchumi. Wakati kipindi cha Bush ilifikia hatua ukimkosoa Bush kidogo tu unaitwa Traitor! Kipindi anaondoka hakuna hata alietaka jusikia habari ya kina Rumsfeld na ma neocon wengine.

Sasa hivi hata supporters wa Trump, wengi wao wanampinga. Taifa la Marekani lina historia yake, weakness zake na strengths zake.

Wengi wa majaji waliotupilia mbali kesi za kupinga matokeo za Trump, ni Republicans. Wengi wa wakuu wanaohusika na uchaguzi katika states muhimu, ni Republicans, na alijaribu kuwashawishi, wakamkatalia.

Nitakukumbusha siku zijazo tutakaposhuhudia kukwama kwa "utabiri" wako
 
Mungu wabariki Wazungu
 

Lissu na Maalim Seif ndio watu wanaofanana zaidi na Trump. Bila kudhibitiwa wangekuwa wameshawaingiza blind followers wao Ikulu kibabe siku nyingi sana!
 

Kujitawala is one thing na ushirikiano na mataifa mengine is another thing! Ushirikiano sio kukubali kushushiwa na kudhalilishiwa sovereignty yako.
 
Mkuu inaelekea hujui kabisa watawala halisi wa dunia,wana malengo gani kwako na dunia,na wana-tekelezaje mikakati na malengo yao.Laiti ungelijua kwamba Joe Biden ni kikaragosi tu cha wanaoitawala dunia wala usingemshabikia. China ambayo ni a totalitarian state, ndio model ya serikali wanayoikusudia kwa dunia nzima katika miaka michache ijayo. Yanayoendelea duniani sasa, ikiwa ni pamoja na C-19 ni mikakati michache tu ya kuelekea huko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…