Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Status
Not open for further replies.
Mapambano kwenye mitandao ya kijamii au?
Nafurahi umenielewa kuhusu watu kuingia barabarani.
Kuhusu kwamba mapambano yanaendelea, hili mbona liko wazi kabisa.
Mosi, wengi mnakosea kufikiri kwamba dhana nzima ya upinzani hapa nchini ipo kwenye vyama vya upinzani. Si Kweli. Ingekuwa hivyo, basi upinzani ungeshakufa na akina Zuberi Mtemvu miaka ya 60, au na akina Oscar Kambona. Upinzani upo kwenye mioyo ya idadi kubwa tu ya watanzania, na haifi. Ndio maana hata baada ya Nyerere kuupiga marufuku kwa miaka 30 mnamo 1965, mwaka 1995 uliporuhusiwa tu uliibuka utadhania ulikuwepo muda wote.
Watu kama Magufuli, wanaodhamiria "kuua" upinzani, na wanatumia nguvu kubwa sana na kusababisha mateso, vifo, gharama zisizo na maana wala faida kwa taifa, ni watu ambao ni mbumbu wa Historia, na wanaliumiza taifa.

Akina Lissu na Lema na Mbowe , na wengine, watatimiza wajibu wao na watakuja wengine.
Mapambano yanaendelea ndani na nje. Hayaonekani wazi sababu Magufuli ni mbabe. Ukitokeza kichwa tu anakunyofoa. Hili la viongozi wa Tanzania kunyimwa viza za Marekani ni dogo, japo ni aibu kubwa kwa Tanzania. Vuta subira, yajayo yanafurahisha
 
Hii inferiority complex tutakuwa nayo mpaka lini? Inaonekana hatujataka kujitawala! Au ndiyo maana Lissu anawachumbia wakoloni warudi?
Hivi Magufuli , Rais mzimaaaa wa nchi, anampigia magoti waziri wa mambo ya nje wa China na kuombaomba, ni sahihi kidiplomasia? Hapa alitakiwa Kabudi. Lakini hata kuomba kwenyewe ndio ujidhalilishe hivyo? Na kale kajamaa unajua kalijibuje? Kisheria hatusamehe mikopo, lakini nitachukua ombi lako! Kwa lugha ya kidiplomasia hayo ni matusi mazito. Fedheha iliyoje?
 
Tuna rasilimali za kutosha na sasa tumeanza kuwathibiti wezi wetu ndiyo maana wameanza kupiga kelele wakishirikia na wasaliti. Tumefanya uchaguzi bila msaada wa mabeberu na tunasonga mbele.
Hiyo ya "tumefanya uchaguzi kwa fedha zetu" ilikuwa janja ya Magu kuviminya vyama vya upinzani.
Ile hela ya UNDP hutolewa na wachunguzi wa kimataifa huja. Ukiikataa hiyo hela wachunguzi hawaji. Hapo umezima taa ili uibe vizuri gizani.

Pia hizo hela hata vyama vya upinzani hupewa mgao. Sawa hata ccm watakosa, lakini si ndio maana Magu kamweka mtoto wa dadake kwenye kihenge cha pesa? Ccm wanahomola tu. Ndio maana pia waliwwka kodi ya mabango ya kampeni ili kuwakwamisha upinzani, lakini wao wamesambaza nchi nzima. Nani TRA atakwenda kwa Magu kudai kodi ya mabango yake????
Acheni propaganda za kijinga
 
Huyu jamaa kigeugeu geu sanaa ila ameogopa kuendeleza ndo maana hata siku ya kuapishwa biden hakuwepo.
 

Most of the so-called wapinzani are just political opportunity hunters (not wapinzani in the strictest sense of the word)! Wakikosa opportunity kwenye chama walichomo wanahama chama au kuanzisha chama kipya. Obviously, hakuna namna ambayo reintroduction of the multiparty system isingechangamkiwa wakati ilimaanisha fursa mpya kwa political opportunity hunters!
 
Nakwambia kila siku wewe ni kenge mwehu usiyejua lolote lile
 
Weka ushahidi wa uliyosema. Vinginevyo ni majungu tu!
 
Hii inferiority complex tutakuwa nayo mpaka lini? Inaonekana hatujataka kujitawala! Au ndiyo maana Lissu anawachumbia wakoloni warudi?
Kwa yanayoendelea hapa kwetu , bado unaamini tunaweza kujitawala ?
 
Hii mentality ya kusubiria watu wa kigeni ndiyo waje wawajibike na nchi yenu ni ya kishamba sana.

Kwa taarifa tu,hata ile ban ya Visa lottery kwa Watanzania iliyowekwa na yule mwendawazimu tayari Biden kaiondoa.

Jiandaeni kuwa disappointed!
 
Ufwala mwingi sana, sisi ni nchi tajiri wewe ya kipato cha kati hatupangiwi.
Mfate shoga mwenzio huko Belgium muongee huo upuuzi
 
Ni wewe ndio unasubiri hayo pumbavu
 
Hii mentality ya kusubiria watu wa kigeni ndiyo waje wawajibike na nchi yenu ni ya kishamba sana.

Kwa taarifa tu,hata ile ban ya Visa lottery kwa Watanzania iliyowekwa na yule mwendawazimu tayari Biden kaiondoa.

Jiandaeni kuwa disappointed!

Si tu ni ya kishamba bali pia ni extreme state of mental retardation!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…