Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Status
Not open for further replies.

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na viongozi sao.

Muda umefika. Tujiandae kwa rungu la Joe Biden na Democatic party. Tanzania tumenyooshewa idole karibia na kila mshirika wa maendeleo kutokana na shutuma kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja uchaguzi wa demokeasia, na bila shaka 2021, Tanzania itapitia wakati mgumu hasa viongozi wetu wakiwekewa vikwazo vya kila aina. Je Tumejiandaa kukabiliana na shinikizo za kimataifa?
 
ukweli mchungu mkoloni mweusi dawa yake ni mkoloni mweupe tu. Karibu Biden
 
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa CCM
 
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa CCM.
Hayo maneno kamezeshwa na mamlaka maana alijiona yuko juu ya katiba.
 
ukweli mchungu mkoloni mweusi dawa yake ni mkoloni mweupe tu. Kartbu Biden
Akaribie kwako na familia yako

Huku kungine aje kwa heshima, maana nae kasababish vifo vya watu wanne huko.
 
Hii dhana ya kupenda kujiona unatawaliwa muda wooote imekukaa Kichwani sana. Huko Marekani mbona Waandamanaji wameuwawa nje ya Jengo la BUNGE mnaojifanya Wanaharakati mmekaaa kimiaaaaaa pimbi nyie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom