Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Status
Not open for further replies.
Mkuu inaelekea hujui kabisa watawala halisi wa dunia,wana malengo gani kwako na dunia,na wana-tekelezaje mikakati na malengo yao.Laiti ungelijua kwamba Joe Biden ni kikaragosi tu cha wanaoitawala dunia wala usingemshabikia. China ambayo ni a totalitarian state, ndio model ya serikali wanayoikusudia kwa dunia nzima katika miaka michache ijayo. Yanayoendelea duniani sasa, ikiwa ni pamoja na C-19 ni mikakati michache tu ya kuelekea huko.
Hawahawa China waliowapa msaada wa milioni 380 ? Be serious ndugu .
 
Sasa hivi duniani kila nchi inapambana na matatizo yake ya ndani.
Hata hiyo amerika inayo lukuki.
Wewe kaa ukisubiri ndoto yako siku ikitimia Tanzania itakuwa sio hii ya sasa.
Muacheni MAGUFULI arekebishe mambo wakati nyinyi mkiota mchana.

Huko EU mlikosaidiwa na wahafidhina wa CDU na vi tuzo fake eti vya IDU wakati tunajua wazi kwamba IDU ni tawi la christian democrats.

Nchi hii itajengwa na wenye moyo wa uzalendo na sio rundo la wapiga keyboards mchana kutwa.

Amini usiamini nchi hii itasonga mbele zaidi chini ya MAGUFULI kuliko yule mshenga wa Ulaya union.

Ushahidi uko wazi.
 
Kuna mnyama anaitwa nyegere, kwakujiamini huingia hata kwenye kundi la Simba.
Yeye huota Kuna siku atakuwa binaadam Tena atawapita hata wazungu kwa Kila kitu.
 
Hayo ni maoni yako,sijui uliumizwa wapi kati ya vyeti au majipu ila DUNIA na mataifa tunayopakana wanaliona hilo wewe endelea na ndoto.
Yanayofanyika yako wazi
 
Usikariri kama Kasuku, waliosimamia uchaguzi Georgia na Arizona ni Republicans na bado wagombea wao wakashindwa vibaya sana.
Hawa democrats kama wa kijani?

Kila mmoja anashutuma ya Wizi wa kura

Sijui unawaongelea wepi?
 
Wewe mnywa balimi wa tandale ndio ujue dunia inaelekea wapi. Wewe endelelea kukariri tu conspiracies zisizo na mbele wala nyuma
Mkuu inaelekea hujui kabisa watawala halisi wa dunia,wana malengo gani kwako na dunia,na wana-tekelezaje mikakati na malengo yao.Laiti ungelijua kwamba Joe Biden ni kikaragosi tu cha wanaoitawala dunia wala usingemshabikia. China ambayo ni a totalitarian state, ndio model ya serikali wanayoikusudia kwa dunia nzima katika miaka michache ijayo. Yanayoendelea duniani sasa, ikiwa ni pamoja na C-19 ni mikakati michache tu ya kuelekea huko.
 
Not same old stories, msiwe mnarukia mambo msiyoyajua vizuri, mtaonekana vuvuzela tu kwa wenye akili.
Sasa na wewe unajitnabaisha una akili?,
Punguza mihemko,unajionyesha namna ulivyo stupid...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom