Ukweli kuhusu Trump wa Republic party na Joe Biden wa Democratic nchini Marekani tunapolinganisha na Tanzania, yaani CCM ya Jiwe na CHADEMA ya Mbowe ni hivi:
- Donald Trump-Republican ni sawa na Magufuli- CCM.
- Joe Biden- Democratic ni sawa na Aikael Mbowe- CHADEMA.
Kama Tundu Lissu wa CHADEMA angelishinda uchaguzi Mkuu wa Oktoba,2020 basi Magufuli angelica ya vituko kama vya Trump.....believe it or not.
Kuna mfanano wa karibu sana kitabia, kihaiba na kimatamshi baina ta hawa watu 2 yaani Trump na Jiwe....!!!
Majitu kama haya aghalabu hayatakiwa kabisa kushika madaraka hasa ngazi za Urais.....!!!!!