tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa asilimia arobaini.
Imefahamika kwamba vikundi hivyo vikubwa vinavyohusisha League of Conservation Voters, the Natural Resources Defense Council, na Sierra Club vimekuwa vikifadhiliwa na Russia ili kuhakikisha nchi za Ulaya na Marekani zinaachana na uzalishaji wa nishati na kuwafanya wawe tegemezi wa nishati kwa Russia.
Tanzania tunapaswa kujifunza hili, hususani kwenye sekta ya Utalii. Kila mradi tunaotaka kuanzisha, tunapigiwa kelele na vikundi vya mazingira fulani vilivyomo ndani na nchi jirani ya kaskazini vikijifanya vinathamini zaidi na mazingira. Ukiangalia kwa undani vikundi hivyo vina connection na watu au nchi wasiopenda tutoke kwenye utalii.
Tusisahau ule mpango wetu wa kutaka kujenga barabara ya lami kupitia hifadhi ya Serengeti ambapo ulipigiwa kelele na vikundi kama hivi na pia kuzuiwa na Mahakama ya Afrika Mashariki.
Tanzania tuamke usingizini.
Pascal Mayalla Yericko Nyerere
www.bbc.com

Ujenzi wa barabara Serengeti wazuiwa - BBC News Swahili
Wakazi wa Ngorongoro wamelalamika kufuatia uamuzi wa kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kupita Serengeti