Mfumo fedha uchukua miaka 30 au zaidi Kufanya kazi, kuleta matokeo. Euro ilipendekezwa 1960, ikaanzishwa 1999, ikaanza kuonekana kama Pesa 2002. Hapa ndipo penye akili kwa hiki chama, ukiweza kuistore mfumo fedha na ukarun vizuri basi BRICKS itashinda. EU ni simba mwenda pole, alijua Siku moja Dollar itasumbua akaja na EURO. N.B. Mzungu kwenye mfumo ela hawezekani, ndio maana China na Urusi wanalia lia na vikwazo vya EU na US. Kwa sasa US na EU wanapanga tukio kwa BRICKS, nia ni kiwe chama cha kukutana na kupiga story tu, subiri mpaka 2027 uone.