Tanzania Tukikohoa Mnaitika

Tanzania Tukikohoa Mnaitika

Match of the tournament so far,hongera EAST AFRICA,wa bongo msiwe na hofu,a win for kenya is a win for EAST AFRICA,tutawakilisha vilivyo hadi fainali.
Lakini wote tumerudi nyumbani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kilichowasaidia kuifunga timu ya Leo ni kwa vile ni ya CCM sio ya taifa. Au hamjamsikia Gavana wa Dar es salaam?
View attachment 1140593

1140660
 
Ichoboi01 sisi tupo draw na senegal kwa wakati huu,matokeo ya mechi yetu na wao ndio itaamua nani atafuzu,na usiwe na hofu kenya itawakilisha east africa vilivyo.tuwe wazalendo kwa east africa😎
Itawakilisha vp kwa akili yako bado unajipa matumaini kwa senegalπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ichoboi01-kanakwamba hukutazama mechi ya jana ya harambee stars,kikosi kisha amka,usiwe na shaka senegali tutapambana vilivyo😎 na east africa tutatembea kifua mbele.
 
Itawakilisha vp kwa akili yako bado unajipa matumaini kwa senegalπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ nchi ya watu millioni mbili tu!!!! 🀣 🀣 Usiwe na Shaka!!!
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Bwana Samatta is going places though, ive liked the guy, very talented
Yes he is. Trolls aside I would olso pick out
1)one of the CBs-the one who covered masika(nyoni I think) before he was injured, was rock solid
2)msuva showed flashes of brilliance on both flanks.
3)the goalie was above average. Can't pick out any other.Tzs mid was horrible. Acres of empty space btwn the front and back line.
On the Kenyan side,
1)okumu the CB
2Masika LWB,Marcello RWB
3)wanyama had a field day as CDM and of course pointman olunga, everything of his is long, the leg, the height, his playing radius is huge fand well guarded

Kenya's substitutions were effective, the less said of Tanzanias the better
 
Ichoboi01 sisi tupo draw na senegal kwa wakati huu,matokeo ya mechi yetu na wao ndio itaamua nani atafuzu,na usiwe na hofu kenya itawakilisha east africa vilivyo.tuwe wazalendo kwa east africa😎
Goodluck guys
 
You guys stop bluffing, wait for your match with Senegal and then you can talk.
 
You guys stop bluffing, wait for your match with Senegal and then you can talk.
Our match was with Tanzania. Our final was with Tanzania. Sisi tushabeba kikombe chetu. Hata Senegal watupige tano mtungi haina waas.
 
Ila game ilikua tougher hata kama mmeshinda ila ulimi uliwatoka hongereni mjiandae tu na Senegal sasa
 
Back
Top Bottom