Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

Tuanze kuifumua kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), iliyopo chini ya Wababe Wawili Henry Tandau na Filbert Bayi, wanawahonga BMT, Wizara wote Ili wasikilize wa

Tuanze kuifumua kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), iliyopo chini ya Wababe Wawili Henry Tandau na Filbert Bayi, wanawahonga BMT, Wizara wote Ili wasikilize wao.
Yes mkuu na vigogo hawa wamekaa sana kwenye hivi viti, huyu Tandau ndio ukoo ule ule wa yule waziri wa awamu ya kwanza au ni tofauti, hii nchi kama upo nje ya systems ni shida,koo zile zile ndio zinakula sehemu kubwa ya pie 🥧 ya taifa
 
Je Tanzania ni maarufu kwa kitu gani? Yaani hata kukimbia hatuwezi. Dah!
Rushwa imeweka kansa kwa ubongo.
 
View attachment 2316584
Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim Selemani Mbundwike kupoteza kwa pointi pambano lake la nusu fainali dhidi bondia wa Msumbiji jijini Birmingham, Uingereza.

Hivyo Tuna Medali ya Fedha Moja (Marathon) na Mbili za Shaba zote Ndondi (Boxing).

Wanariadha Wetu wa Mita 5000, Josephat Joshua Gisemo na Faraja Lazaro Damasi wamehitimisha Kwa kushika nafasi za 15 na 16 kati ya wanariadha 20, huku Mganda akichukua Medali ya Dhahabu na wakenya wakichukua medali za fedha na Shaba.

Nchi zinazoongoza Hadi Sasa
1. Australia -medali 155
2. Uingereza- Medali 148
3. Canada - Medali 84
Hizo 3 mbona nyingi Sana.Hongera kwa wote waliofanikisha Hilo.
 
Hata kugegedana sidhani kama tutatoboa. Maneno mengi, vitendo zero.

Labda umbeya, uchawa, mipasho, wizi, uzembe, rushwa, ubinafsi, ubabaishaji, hapo tunashinda asubuhi na mapema.
Hapo sawa tutapata medali zakutosha
 
Kuna Vijana Wazuri waliachwa, ambao wangeongeza Medali...ila Nchi ya Connection, wamechaguliwa Kwa upendeleo kabisa....Riadha tuna Medali moja tu....
Wanachagua vipi kwa upendeleo badala ya sifa? Ila jamani wabongo akili zetu sijui zimefichwa wapi! Kuna shule moja kulikuwa na mwaliko wakwenda nchi moja marafiki ila wawe wacheza mpira Mwl kakomaa watoto wakawa vizuri sana kilichofuata waliochukuliwa sijui walitoka wapi huyo Mwl kuanzia siku hakufundisha tena mpira,.
 
Hizo tatu ni ushindi mkubwa sana pongezi kwao si ajabu hata hao walienda kwa mbinde maana hawa viongozi mmm ufahamu wao nikama kutembea kinyume nyume
 
Tuanzishe tuu mashindano ya kugegedana, labda hapo tutapata medali ya dhahabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yule waziri aliyefutaga michezo mashuleni ameturudisha nyuma kinoma.
Kugegedana kwenyewe unazani tunaweza hakuna kitu zaidi ni kelele tu
 
Tanzania nchi ya ajabu sana. Mambo ya maana ya kuitangaza nchi hatuwekezi tunawekeza simba na yanga day tu

Nimeifuatilia sana haya mashindano na nimeona michezo mingi sana rahisi lakini bongo hakuna mtu hata wa kuwa wa mwisho.

Yapo mabaunsa mengi mjini yanalinda wasani wa kike hivi wanashindwa kweli kwenda kurusha hata tufe na kisahani?

Hivi kweli nchi nzima tumekosa mtu.wa kukimbia mbio fupi ?
 
😲😲😲Kwa hiyo hatujui kugegedana. Dah kwa hiyo zile story za kule kwenye masikhara ni fix tuu cha msingi watu wamevuana kyupi na kuunganisha vikojoleo.🤣🤣🤣🤣
Au wee hujapata anayekugegeda vizuri?
 
Tanzania nchi ya ajabu sana. Mambo ya maana ya kuitangaza nchi hatuwekezi tunawekeza simba na yanga day tu

Nimeifuatilia sana haya mashindano na nimeona michezo mingi sana rahisi lakini bongo hakuna mtu hata wa kuwa wa mwisho.

Yapo mabaunsa mengi mjini yanalinda wasani wa kike hivi wanashindwa kweli kwenda kurusha hata tufe na kisahani?

Hivi kweli nchi nzima tumekosa mtu.wa kukimbia mbio fupi ?
Umewaza Vizuri, au hata wengi wanaonyanyua vyuma Gyms, WAMESHINDWA Kwenda kubeba Chuma Cha kilo 100 Hadi 150???
 
Wanachagua vipi kwa upendeleo badala ya sifa? Ila jamani wabongo akili zetu sijui zimefichwa wapi! Kuna shule moja kulikuwa na mwaliko wakwenda nchi moja marafiki ila wawe wacheza mpira Mwl kakomaa watoto wakawa vizuri sana kilichofuata waliochukuliwa sijui walitoka wapi huyo Mwl kuanzia siku hakufundisha tena mpira,.
Upatikanaji wa Wanariadha ni kwenye Mashindano Mbalimbali ya Ndani na Nje ya Nchi na wenye Muda Mzuri...ila Sasa connection zinaanza , wanachaguliwa kishkaji tu.
 
Ila tusisahau maandalizi ni muhimu kwa mchezo wowote. Kuna mashindano hata ya kutembea. Kama hakuna maandalizi mazuri hakuna mafanikio.
Sisi ni watu wa kukurupuka dakika za mwisho na kuunda kamati za ushindi. Tunataka ushindi kwa hamasa tu.
 
Upatikanaji wa Wanariadha ni kwenye Mashindano Mbalimbali ya Ndani na Nje ya Nchi na wenye Muda Mzuri...ila Sasa connection zinaanza , wanachaguliwa kishkaji tu.
Unajua kuwa hawa Mabondia, wanariadha, waogeleaji wote hawa wanajitegemea? Yaani mazoezi, Afya, vifaa na mengineyo yote wanajitegemea 100%??
 
So sad Yani Tz hakuna hata jambo ambalo utajivunia utasema yaani Tanzania kitu fulani kimesimama sana.
Utasukia misita Tanzania ni nchi ya amani hiyo ndo sifa Sasa kumbe wakitoka kuandamana wanapigwa mkong'oto haya Tanzania nakupenda hivyohivyo ulivyo
 
Upatikanaji wa Wanariadha ni kwenye Mashindano Mbalimbali ya Ndani na Nje ya Nchi na wenye Muda Mzuri...ila Sasa connection zinaanza , wanachaguliwa kishkaji tu.
Heb lete na ushahidi, ninachojua Mimi kwenye riadha hawaendi kwa idadi wanaenda Kwa vigezo. Kuna vigezo vya muda vimewekwa kwenye kila mbio, mtu akifikisha amequalify kushiriki. Ndio maana unaweza kuwaina wakenya kwenye mbio moja wapo Zaid ya wawili. Kwa mtazamo wangu shida kubwa hatuna academy nzuri za riadha za kuandaa vijana, ni ngumu Sana mtoto kujiandaa Kwa gharama zake na akafikisha vigezo vya jumuiya ya madola. Kila mtu anataka kuwekeza kwenye academy za football Ila riadha pia inalipa wenye mtazame namna ya kuwekeza.

Watoto wenye vipaji tunao wengi Sana Ila namna ya kuendeleza vipaji ndio tunafeli
 
Mwanariadha umeondoka kukimbia Mita 800, alafu unabadilisha GIA hewani anakimbia Mita 1500 huko jumuiya ya MADOLA,leo unataka ushahidi upi? Sio uchaguzi wa kujuana?
 
Mkimbiaji wa m 1500 anaweza kukimbia pia m800 ni kama mkimbiaji wa m100 kukimbia m200. Kwa hiyo kama kafikisha vigezo Kwa mbio zote mbili anaruhusiwa kukimbia. Kule hawaendi kwa idadi, wanaenda Kwa vigezo. Chama cha riadha kikimpata mtu aliyefikisha vigezo wanafurahi Sana maana hawapatikani kirahisi. Ingia kwenye mtandao angalia qualifications za kukimbia kila mbio Jumuiya ya madola na olimpic. Hua wanatoa mapema Kwa hiyo kwenye mashindano ya ndani wanatafutwa waliofuzu vigezo. Ndio maana unaweza kuta mbio flan watz hakuna mtu Ila wakenya wapo watatu, manake wana vigezo. Ingekua wanaenda kwa idadi kwamba tz tupeleke kadhaa hapo kujuana kungetawala Ila wazungu wana akili wakaweka qualifications Kwa washiriki.
 
Twende na Qualifications za ndani ya nchi ya Tanzania, wanachaguana vipi?
 
Back
Top Bottom