Tanzania tumejaaliwa kwa kweli

Tanzania tumejaaliwa kwa kweli

MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN

MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO







11885311_10206584296823947_9149298427174470481_n.jpg

we shangazi unapenda kick za kifunza kweli!
Haya jishebedue,wake wenzio wakujue!
 
Huyu hata ajulikani labla huko mitaani kwao! huko Gongo la mboto ndani ndani huko atajulikana wapi
 
nafasi za umaarufu mpya zimejaa!kachelewa......wenzie umaaarufu wanauanzia huko halafu ndo wanahamia humu JF...kule hajatoboa anataka kuupatia humu!
 
Back
Top Bottom