Tanzania tumelipa awamu ya pili ya tuzo ya International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID)

Tanzania tumelipa awamu ya pili ya tuzo ya International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID)

IGA/BIT hizo ni stabilisation clauses kwenye maswala ya mikataba.

Not even sehemu muhimu ya mkataba.

Sasa kama IGA tu 99% ya wanasheria wenu wote waliochangia walishindwa elewa legal implications zake.

Worst wanapotosha umma kwa sala jepesi kwenye tafsiri za contract dispute.

Likija swala la ‘nitty gritty’ za mikataba ya consideration na justification ya madai; Tanzania aiwezi shinda kesi miaka 800 nje ya nchi.

Sio kwa sababu tatizo ni serikali kuvunja mikataba mibovu, bali ni uwezo wa wanasheria. Kesi ya Indiana haikuwa ya kushindwa miaka 800.

Kesi iliyotoa ndege SA ni JF pia ndio iliyowaambia Tanzania na SĄ; hawana makubaliano ya kukadhia kesi za kimataifa.

Ile ilikuwa rahisi kuelewa, sasa kuna unashauri mwingine mwingi humu watu uwa wanatoa; sema complicated kwa wanasheria wetu mapoyoyo.

Just sort the civil services, it’s full of imbeciles; hilo ndio tatizo.

Na huyo mama anapenda kuweka watu wenye weredi mdogo wizara na taasisi zenye madili ya kupiga hela hili wahuni wafanye yao huko.

Aaargh

Halafu tukitoka hapo wazungu wanatuhujumu. Ujasikia tu hizo hadithi za Enron and accounting frauds watu wanatia mashirika hasara za zaidi ya dollar billion 100 ili mradi wao wawe matajiri.

Seuse kujaribu kukupiga wewe na madai ya dollar millioni 200 mpaka billion mbili kwa kukupima uwezo wako wa sheria.

Kesi ya Indiana haikuwa ya kushindwa ni uwezo mdogo tu wa wanasheria wa serikali. Easy pickings,

Ndio ukweli
Hauko sahihi hata kidogo- wewe na unaoa walaumu ni yale yale- subjective
 
Halafu haohao wahindi ndiyo mnatwambia wanakuja kwaajili ya ppp, private partnership, ili waandelee kula vichwa eti inaitwa tuzo
Mkuu siyo wahindi hilo ni jina tu
 
Back
Top Bottom