Tanzania tumepewa mali na tukanyimwa akili

Studies nyingi zimefanyika average 80 IQ kwetu sisi Subsaharans.

Hakuna haja kutafuta mchawi
 
Ccm imeharibu mfumo wa elimu ndio maana hata kujenga hoja kwa mantiki Kuna washinda watu wengi sana.Nchi imejaa wanafiki kiongozi wa kisiasa anasema tusichanganye dini na siasa wakati huo huo akiwa kwenye mimbali ya dini akiongea siasa.
Yaani mwanasiasa anaalikwa kuongea kwenye mimbari halafu yeye anaenda kuongea siasa huku akiwazuia wenye jukwaa alilosimama yeye,kwamba wasichanganye siasa na Dini???
 
Wananchi asilimia kubwa nadhani Wana akili timamu sana... Nadhani shida ni viongozi tunao wachagua au wale wanao lazimisha kuwa viongozi... Pengine hawana tu akili (yaani wapumbavu) au wanafanya tu makusudi KWa lengo la kuwa wabinafsi KWa kufikiria matumbo yao
 
Umeandika vyema sana

Wanaoingiza dini hawana hekima wala busara wameshindwa kujibu hoja kwa hoja.

Nimesikitishwa sana na jk baada ya tamko la TEC kutoka na kuongea issue za udini na siasa huyu baba alijivua nguo na kuonekana ni mnafiki sana

Kazungumzia suala la udini wakati yeye ndio alikuwa analieneza kwa tamshi lake hilo ni aibu kwa kweli

Wananchi mbalimbali wa dini zote wametoa maoni yao juu ya hili limkataba lakini naona viongozi wakiongozwa na mama abdul chifu hanganya hawataki kusikia maoni yoyote na wanataka kufanya walivyopanga wao sasa jk kama rais mstaafu alipaswa kushauri hapo na sio kukimbilia kujibu tamko la TEC
 
Mkataba mibovu vipengele, vigezo ni vibovu, wazalendo wabapinga, tunapinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…