Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mwanasiasa anaalikwa kuongea kwenye mimbari halafu yeye anaenda kuongea siasa huku akiwazuia wenye jukwaa alilosimama yeye,kwamba wasichanganye siasa na Dini???Ccm imeharibu mfumo wa elimu ndio maana hata kujenga hoja kwa mantiki Kuna washinda watu wengi sana.Nchi imejaa wanafiki kiongozi wa kisiasa anasema tusichanganye dini na siasa wakati huo huo akiwa kwenye mimbali ya dini akiongea siasa.
Wale wanateswa na udini utadhani DP ni mali ya BAKWATANchi tuna wajinga wengi sana,leo hii waislam wanatukana maaskofu wa RC badala watukane walichoandika. UJINGA Huundo mtaji wa ccm wanautegemea sana.
Sisi tunateswa na mfumo ovu na mbovuVitu vyengine hata sio kutokuwa na akili bali ni kutozitumia hizo akili, kwani waarabu wana akili gani ambazo sie hatuna?
Hapana. Mungu aliumba kila kiumbe kikiwa kamili 100%.Akili ipo ila Mungu hakutuonyesha namna ya kuitumia.
Wananchi asilimia kubwa nadhani Wana akili timamu sana... Nadhani shida ni viongozi tunao wachagua au wale wanao lazimisha kuwa viongozi... Pengine hawana tu akili (yaani wapumbavu) au wanafanya tu makusudi KWa lengo la kuwa wabinafsi KWa kufikiria matumbo yaoTanzania ni nchi nzuri iliyobarikiwa kila kitu.
Imebarikiwa kijiografia kwa kuwekwa mahali pazuri kwenye lango kuu la bahari ambayo ni tegemeoa la nchi takriban sita. Nazo ni Zambia, Congo DRC, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe.
Tunayo kila aina ya madini muhimu duniani - Almasi, Dhahabu, Tanzanite, Nickel, Uranium, Chuma nk!
Tunayo milima na mabonde yenye rutuba yaliyosheheni nchi nzima. Pia Tunayo maziwa na mito maarufu Duniani.
Lakini tumelaaniwa kwa kunyimwa akili ya kujitambua na kuthamini vitu vyetu. Tumelaaniwa kwa kuwa taifa la wanafiki, Wezi na wabinafsi... hususan wale wanaopata nafasi za kutuongoza wanapoutumia ujinga wetu kujineemesha wao binafsi na walioko karibu yao pekee.
Mfano huu wa mkataba wa ovyo kuwahi kutokea nchini wa DP-WORLD.
Kinachoendelea ni wajanja au wezi wachache huko serikalini kutumia baadhi ya wajinga wachache, ili kutugawa Watanzania kwa muktadha wa kidini.
Badala ya kuuchambua mkataba na ubovu wake, wao wanakazania neno uwekezaji. Ilhali hakuna Mtanzania anayekataa uwekezaji, bali Watanzania wanakataa uwekezaji wenye mikataba mibovu ya kinyonyaji kama huu wa DP-WORLD.
"Nafikiri tunachanganya sana mambo, sijui ni kwa makusudi au ni kwa kutoelewa, hakuna sehemu kwenye waraka wa Maaskofu iliyotaja mashekhe wala Uislam, bali hoja yao ni mkataba kuhusu bandari. Nafikiri wanaowapinga Maaskofu wapinge kwa hoja kama wao siyo kuleta swala la udini."
"Kwani waraka wa TEC unamaamuzi gani? Wewe pinga au kataa. Ila mababa Askofu, wanachokipinga ni mikataba mibovu itakayo tuingiza kwenye hasara. Dini zingine wakubali au wapinge mkataba,ni haki yao wafanye wanavyoviona."
Mungu inusuru Tanzania [emoji120][emoji1241]
Mkataba mibovu vipengele, vigezo ni vibovu, wazalendo wabapinga, tunapingaTanzania ni nchi nzuri iliyobarikiwa kila kitu.