Hii inaonyesha kuwa viongozi wengi wa Afrika hawatokani na waafrika wenyewe, ni mapandikizi ya magharibi.Mwalimu Nyerere and all wazee they were quick to perceive that Afrika will be brighter and prosperous continent through AU.
Instead, the Africans are becoming dismembered from ECOWAS and one day AU itself.
On its current structure AU is not fit for purpose.
Ndio maana unaona hata Chaguzi zao na namna wanavyoingia madarakani.Hii inaonyesha kuwa viongozi wengi wa Afrika hawatokani na waafrika wenyewe, ni mapandikizi ya magharibi.
Miaka michache kidogo nilisafiri kwenda Jerusalem tukiwa na Raia wa South Africa. Aisee yule jamaa alipata shida sana kuingia Israel...Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki?
Hebu msikilize huyu Mama.
View: https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
Hii inaonyesha kuwa viongozi wengi wa Afrika hawatokani na waafrika wenyewe, ni mapandikizi ya magharibi.
I have a plan to establish my second home to South Africa...Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki?
Hebu msikilize huyu Mama.
View: https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
Morocco tumemuomba atujengee misikiti na viwanja vya mpira, ni urafiki ulioje!! Israel ndio usiseme, kilimo chetu kinawategemea wao kwa technology. Tulikosa vitu vingi kwaajili ya wengine kwa muda mrefu sana..Mama Naledi katupa jiwe gizani.
..Kwamba kuna serikali za Kiafrika zimehongwa na Morocco na Israel.
Morocco tumemuomba atujengee misikiti na viwanja vya mpira, ni urafiki ulioje!! Israel ndio usiseme, kilimo chetu kinawategemea wao kwa technology. Tulikosa vitu vingi kwaajili ya wengine kwa muda mrefu sana
CCM inatafuta kila njia ya kuendelea kubaki madarakani hata kama njia hiyo sio endelevu, mbaya na yenye kututia hasara na soni...Ccm hawashindwi kuwajengea Bakwata msikiti. Chama kinapokea 1.3 billion kila mwezi.
..Kinachoendelea ni usaliti kwa Sahara Magharibi na Wapalestina. Ndio maana Mzee Mugabe alitukemea ktk mkutano wa wakuu wa AU.