Tanzania tumerudishwa nyuma miaka 20. 2025 ya ni kama 2005 miundombinu mibovu

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short

Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa. Shule mbovu, hali ya watu mbaya, pesa imeshuka kuliko 2005,

Same problems kama hatuja fanya chochote in 20 years,

Kama inchi hatujui tunaenda wapi, kama tupo gizani.

Things are very bad, very very bad.
 
I will be short

miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana , magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals amna dawa.

same problems kama hatuja fanya chochote in 20 years,

Kama inchi hatujui tunaenda wapi, kama tupo gizani.

things are very bad, very very bad.
Tatizo kubwa la tz ni utunzaji wa miundombinu, hii ni changamoto ambayo wameshindwa kuotoa kabisa
 
trust me ni inchi zote, ours hata kuimprove basi, miaka 70 ya matatizo yale yale ya 70 years ago, maneno ya Nyerere bado yana make sense 2025??!!

we have a.i now
 
I will be short

Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa. Shule mbovu, hali ya watu mbaya, pesa imeshuka kuliko 2005,

Same problems kama hatuja fanya chochote in 20 years,

Kama inchi hatujui tunaenda wapi, kama tupo gizani.

Things are very bad, very very bad.
Kwa hiyo teuzi za wasaidizi ziwe za watu wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom