Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Tatizo kubwa la tz ni utunzaji wa miundombinu, hii ni changamoto ambayo wameshindwa kuotoa kabisaI will be short
miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana , magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals amna dawa.
same problems kama hatuja fanya chochote in 20 years,
Kama inchi hatujui tunaenda wapi, kama tupo gizani.
things are very bad, very very bad.
trust me ni inchi zote, ours hata kuimprove basi, miaka 70 ya matatizo yale yale ya 70 years ago, maneno ya Nyerere bado yana make sense 2025??!!Tatizo kubwa la tz ni utunzaji wa miundombinu, hii ni changamoto ambayo wameshindwa kuotoa kabisa
it doesn't deserve the capital lettertanzania = Tanzania
tumeludishwa = tumerudishwait doesn't deserve the capital letter
Kwa hiyo teuzi za wasaidizi ziwe za watu wenye uwezo.I will be short
Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa. Shule mbovu, hali ya watu mbaya, pesa imeshuka kuliko 2005,
Same problems kama hatuja fanya chochote in 20 years,
Kama inchi hatujui tunaenda wapi, kama tupo gizani.
Things are very bad, very very bad.
Faiza Foxy umebadili ID ?tumeludishwa = tumerudishwa
Na tatizo lingine miundombinu sio imara haiendani na mazingiraTatizo kubwa la tz ni utunzaji wa miundombinu, hii ni changamoto ambayo wameshindwa kuotoa kabisa