Tanzania tumeshindwa tusidanganywe

Tanzania tumeshindwa tusidanganywe

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
318
Naomba leo nichambue mambo ya uchumi japo siko kwenye hayo mambo ya kiuchumi nitachambua kwa muonekano wangu navyoona sehemu nitakayo kosea turekibishana.

Jana raisi kikwete wakati akitoa hotuba yake alisema mapato ya kodi yameongezeka kutoka bilioni 154 tsh kipindi cha mkapa 2005 wakati anashika nchi mpaka mwezi uliopita bilioni 545 tsh.

Tukija kwenye ukweli wa mambo hatujapiga hatua kubwa sana kwenye ukusanyaji wa kodi kama mwaka 2005
Dola 1=800-1000
Mwaka 2012
Dola 1=1500-1800

Kwa kiwango cha nchi uchumi kukuwa inapimwa na vitu vingapi unauza nje na vingapi unaagiza kutoka nje.kama ndo hivyo mfano katika mapato ya kodi mfano kwa mwaka 2005 tuliingiza fedha za kigeni labda milioni 50 kwa kipindi cha mwaka 2005 hela ingeonekana ndogo kwa sababu pesa yetu ilikua kidogo ina thamani kwa dola,

Sasa hivi pesa yetu haina thamani kwa dola ina maana tunaagiza vitu vingi kutoka nje kuliko kuuza vitu vingi.

Tuagiza magari mengi ya kifahari kutoka nje,nguo,siku hiz hadi viberiti vinatoka nje bado watu wanajidai uchumi unakua.

Kama hatutaweza kujenga uchumi imara wa ndani tutengeneze magari,Tv,Radio zetu tusahau maendeleo kabisa katika nchi yetu.tunahitaji kujenga viwanda vya kati na vikubwa hapa nchini tutengeneze ajira nyingi hivi serikali inashindwa kuongea na makampuni makubwa kama yafuatayo.
1.SamSung
Serikali ivutie hii kampuni ijenge kiwanda hapa izalishe mafriji hapa,Tv hapa,kwa kuwahakikishia umeme utakuwepo bora miundombinu itakua bora zaidi.

Kwamba samsung wakijenga kiwanda chao hapa itakua rahisi kwao kutawala soko la africa mashariki na kati maana ni nchi zinazokua sasa.

2.Tujenge kiwanda cha kutengeneza magari yetu
Hapa tunaweza kabisa sasa tuna gas ya kutosha ina maana kwa mwaka 2015 umeme utakua mwingi kama tutajenga kiwanda cha kutengeneza gari zetu kuanzia mwaka 2017 kianze uzalishaji kutengeneza mabasi ya safari ndefu gari ndogo mchina ameweza sisi tunashindwa nini.
Hapa wale wote watakaoagiza gari kutoka nje kodi inakuwa kubwa na tunalimit uingiaji wa gari kutoka japan.

3.Reli ya kati
Hii ni muhimu sasa tatizo viongozi wengi wana maroli sasa wanaiogopa kama ukoma.

Ajira zipo tanzania tatizo hatuna vichwa za kuzitengeneza ajira eti uchumi unakua hadi vijiti unaletewa kutoka nje hii ni aibu serikali ya ccm kujisifia.

Mwaka 2000-2005 barabara ya km 1 ilikua inajengwa kwa milioni 200-350 tsh
Mwaka 2012 barabara ya km 1 inajengwa kwa milion 700-900 tsh na bado watu wanajisifia eti watembee kifua mbele.

Mfumuko wa bei ni mkubwa sana huwezi kusema uchumi unakua kabisa.

Mimi nasema TRA haifanyi kazi huwezi kukusanya bilioni 545 tsh kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 50 halafu utembee kifua mbele.

1.Makampuni ya simu hayalipi kodi ipasavyo
2.Mahotel kibao yanakwepa kodi
3.Misamaha ya kodi ni mikubwa sana
4.Kwenye madini ndo usiseme watu hawalipi kodi
5.Wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi
6.Raia pia hatulipi kodi nusu ya watanzania hawalipi kodi wengi wanakimbia ni wakati sasa TRA kukusanya kodi

Biashara zote zishajiliwe TRA watu waeleze faidi ya kusajili biashara yako na kupata TIN no
Tusioneane haya eti huyu ni raisi mstaafu hapaswi kulipa kodi.

Miradi yote iliyoko chini ya dini na inaingiza faida kubwa ianze kukutwa kodi.

Ni wakati wa watanzania kujisikia fahari kua mm fred kavishe nimelipa kodi tusikimbie kodi.

Narudia tena sio mtaalamu wa uchumi hayo ndo maoni yangu wale wataalamu wanaweza ongezea lakini tukubali serikali imeshindwa kutokana na rasilimali zote nchini.

Fred kavishe
 
oh, look at this wonderful devoted citizen, hapo kwenye red kunaweza ku nulify nia yako nzuri.
- Ni serikali gani hiyo unayoisema!?
- Unaposema 'tujenge' unamaanisha akina nani maana hapa viwanda sana sana ni beer, unga, na ARV fake (i.e. concern yetu ipo kwenye kula)
 
Serikali hii kama ina nia dhati ikiamua inaweza lakini sidhani sema ni vizuri kutoa maoni kama wataona inafaa wayachukue
 
oh, look at this wonderful devoted citizen, hapo kwenye red kunaweza ku nulify nia yako nzuri.
- Ni serikali gani hiyo unayoisema!?
- Unaposema 'tujenge' unamaanisha akina nani maana hapa viwanda sana sana ni beer, unga, na ARV fake (i.e. concern yetu ipo kwenye kula)

hv mkuu kweli kunawatu bado wanamatumaini na serikali ya ccm, khaaa kweli tunatofautiana sana kwa hv vitren vya mwakyembe? au kwa mabasi yaendayo kasi!??
 
Back
Top Bottom