Tanzania tumeweka record mpya

tuwekeze kwenye michezo tunayoiweza kama ngumi na riadha huko tuna historia nzuri. Tanzania mpira hatuuwezi. hata aje van gaal au mou kufundisha ni sifuri.
 
Mabeki wote Yanga, golikipa yanga! Jana kafungwa Yanga, na Tp Mazembe...

Eti Samata anataka kucheza mpira nje ya Arica..wapi...Labda hapo hapo Mazembe, not Europe

Ni kweli, kimsingi Samata performance yake bado sana. Katukosesha bao nyingi tu. Kucheza europe atasubiri sana
 

Mkuu kwelitupu nimependa sana uchambuzi wako, umeongea ile kweli tupu. refa wa jana kachangia sana stars kufungwa kiwango hiki. Sijui kama kuna jopo ambalo hukaa na kufanya tathmini ya match zilizochezwa kama hii. Wakikaa watu wanaojua haki na mpira, yule refa anastahili kufukuzwa kazi.
 

Ni kweli, tunahitaji kujirekebisha juu ya hilo. Ni wepesi wa kuridhika sisi, huu ni ugonjwa
 
tuwekeze kwenye michezo tunayoiweza kama ngumi na riadha huko tuna historia nzuri. Tanzania mpira hatuuwezi. hata aje van gaal au mou kufundisha ni sifuri.

Ni wazo zuri
 

Umetoa mtazamo kama wangu mkuu. Safi kabisa daima mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…