Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeki wote Yanga, golikipa yanga! Jana kafungwa Yanga, na Tp Mazembe...
Eti Samata anataka kucheza mpira nje ya Arica..wapi...Labda hapo hapo Mazembe, not Europe
Maoni yangu:
1. Kwanza refa alituuma sana, kwa kutoa kadi ovyo na ku-call fouls ambazo hazina kichwa wala miguu. Inawezekana alishalambishwa. Mfano, binafsi zile penalti mbili si halali kabisa; ya kwanza mlinzi wa stars alichezewa vibaya kabla ya yule wa algeria hajazongwa na 'kuangukia' mwenyewe kwenye penalti box, haikuwa penalti kabisa. Halafu ile ya pili kipa wetu alitoka na kuupigampira pembeni mbele ya mshambuliaji wa Algeria, hakukuwa na nia yoyote mbaya ya rafu, lakini refa akawapa penalti, very sad
2. Umati wa washangiliaji wa Algeria na makelele yao vilikuwa very intimidating toka mwanzoni kabisa, Stars walijiona wapweke sana. Uzoefu ulihitajika sana hapa
3. Kitendo cha Stars kuruhusu goli la kwanza dakika ya kwanza kiliwachanganya sana stars wakaona kama wameshafungwa tayari. Laiti kama wangekomaa bila kufungwa walau hadi dk ya 10 Stars wengestabilize na kucheza vizuri zaidi
4. Kitendo cha kadi nyekundi kiliwanyongonyesha zaidi Stars wakaona biashara ndio imeisha! Of course hii ilitokana na Stars kufanya rafu za kizembe
Way forward:
- Hakuna wa kumlaumu, timu bado ni nzuri kama tulivyoiona ikicheza Dar. Sema tu Algeria ni timu bora sana na walikuwa nyumbani kwao na refa wao. Tuwatie moyo wachezaji wetu na benchi zima la ufundi. Hakuna cha ajabu kufungwa 7 na Algeria, hata Brazil walifungwa 7 tena kwao na Germany, itakuwa TZ ugenini?
- Kwa sasa waelekeze nguvu na mbinu katika kombe la Challenge linaloanza jumamosi; huko wahakikishe wanatoa vipigo vya haja kwa vibonde wenzetu ili kulinda heshima ya Tanzania.
- Nadhani kocha aanze kutafuta mbadala wa Cannavaro na Yondani, hawa wamecheza mda mrefu na inaelekewa kasi yao imepungua esp wakipambana na strikers wa kasi ya Algeria
Sijaona kitu cha ajabu hapo, tatizo wabongo atukawii kuridhika timu ikitoa droo 2 na kushinda mechi 1 basi utasikia eti sasa ipo vizuri na tena kama huo ushindi ukipatikana nje ya nchi basi timu ikirudi itapokelewa kama kaja malaika sasa kwa jinsi hii wachezaji na kocha wanabweteka na kujiona wamefikia kiwango cha juu kumbe zari tu sasa matokeo yake ndio haya Algeria wanatupiga 7 bila.