Bila huyu mwamba leo
1. Mradi wa neti za kuzuia malaria zisingekuwepo
2. Miradi ya kutoa dawa ambazo za wagojwa wa ukimwi zisingekuwepo.
3. Umeme vijijini hata ulianzishwa na huyu mwamba na alitupa $500M kila mwaka. Serikali ikaja kuendeleza baadae
Lakini pamoja na mchango wake mkubwa kuna watu wengine hawajui kwamba kuna ndugu yako ameokolewa maisha kutokana na huyu jamaa. Kuna vijana leo wasingekuwa wazima bila huyu jamaa. Cha kushangaza viongozi wetu ni wabinafsi na kujali machawa wao tu.
Kwa vijana nendeni kwenye website ya Bush muone aliyofanya mtashangaa mimi na bahati nimeenda kwenye maktaba yake Dallas, Texas nimeona vitu vyote