Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland

Yaani duniani kote ingekuwa hivi...mi naona sehemu yenye serikali huwa hakunaga amani..kila saa mnaona askari na mabunduki utafikiri ndo wanaleta amani..
 
Sasa shilling 1 ya kenya ni sawa na 7,000 Somali land currency, unategemea nini? Hapo begi zima la pesa unaweza usitoshe kununua hata mkate, nani ajisumbue kuiba mzigo usio na nguvu ya manunuzi?
 
Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland

Hilo jimbo lililojitenga huko aman aman tuu mda wa msikitini kuswali unaacha kila kitu hapo msikitini.ofisi ya Rais wao kuna daftari ndogo na( tadhbiri) ukutani (sory kama nimeikosea jina)ni ule ushanga au rozari kwa wakatoliki upande wa waislam wanahesabia mkononi. Yaani kule box la hela linapigwa kufuli ndogo lile watu wanaacha hapo unaenda zako msikitini.
 
Huku kwetu Msikitini mpk malapa na viatu vinaibiwa.
 
Hilo jimbo lililojitenga huko aman aman tuu mda wa msikitini kuswali unaacha kila kitu hapo msikitini.ofisi ya Rais wao kuna daftari ndogo na( tadhbiri) ukutani (sory kama nimeikosea jina)ni ule ushanga au rozari kwa wakatoliki upande wa waislam wanahesabia mkononi. Yaani kule box la hela linapigwa kufuli ndogo lile watu wanaacha hapo unaenda zako msikitini.

Na hayo ndo maadili
 
Huko n Somali land kajimbo kadogo tu n rahis kukatawala na mwiz na majambaz n rahis kujulikana
 
Back
Top Bottom