wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 17, 2021 #21 Mwambwaro said: Huko n Somali land kajimbo kadogo tu n rahis kukatawala na mwiz na majambaz n rahis kujulikana Click to expand... Burundi Ni padogo saaana tu mbona wameshindwa kufanya hivyo?
Mwambwaro said: Huko n Somali land kajimbo kadogo tu n rahis kukatawala na mwiz na majambaz n rahis kujulikana Click to expand... Burundi Ni padogo saaana tu mbona wameshindwa kufanya hivyo?
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Oct 17, 2021 #22 wa kupuliza said: Burundi Ni padogo saaana tu mbona wameshindwa kufanya hivyo? Click to expand... Burundi na Somali land ipi Kubwa ki eneo tuanzie hapo kwanza
wa kupuliza said: Burundi Ni padogo saaana tu mbona wameshindwa kufanya hivyo? Click to expand... Burundi na Somali land ipi Kubwa ki eneo tuanzie hapo kwanza
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 17, 2021 #23 Mwambwaro said: Burundi na Somali land ipi Kubwa ki eneo tuanzie hapo kwanza Click to expand... Somaliland Ni kubwa Mara 10 ya Burundi. Somaliland sqkm 284,000,Burundi sqkm 27,000
Mwambwaro said: Burundi na Somali land ipi Kubwa ki eneo tuanzie hapo kwanza Click to expand... Somaliland Ni kubwa Mara 10 ya Burundi. Somaliland sqkm 284,000,Burundi sqkm 27,000
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 17, 2021 #24 Huku dunia inaaminishwa ni sehemu hatari kuishi...