zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,217 Jun 10, 2012 #1 Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika. Mfano Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma), Mwenye kuijua azidi atujuze...
Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika. Mfano Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma), Mwenye kuijua azidi atujuze...