Tanzania tuna Mipaka mingapi?

Tanzania tuna Mipaka mingapi?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika.

Mfano
Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma),
Mwenye kuijua azidi atujuze...
 
Back
Top Bottom