technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Unaandika hivi huku unaamini 'DJ' na kundi lake watailetea Tz maendeleo Kama CCM ikitoka
Kingereza tusikitumie kabisa, huoni wakenya wanatumia kingereza ila na wao ni maboya tu.Au Kiingereza kuanzia vidudu pia..lol
Pumbavu tu na wewe. Huna hoja yoyote ya maana.Mtu anashangilia mbunge kuhongwa na kununuliwa na ccm kisa yeye ni ccm
Kesho mtoto wake anakosa mkopo wa chuo kikuu kwa kukosa mfumo mzuri wa kumtetea mwanae
Au ndugu yake anafia hospital na maiti inazuiwa kwa kukosa kumaliza deni wakati anaumwana yeye anashangaa tena kama sio ujinga na upumbavu ni nini?
Kwani barabara zinaongea kiingereza? Wachina wanajenga kila sikuUkisoma kingereza kwanzia vidudu..hakutakua na shida kuelewa ukiingia levels nyingine...ni lugha ya kimataifa,au unadhania ukiingia hizo nchi ulizozitaja utaongea lugha gani kama sio Kingereza??..au kisambaa?? lol
Tatizo ni lugha ya kufundishia. Mimi ninaamini kama 1961 tungesoma kwa kiswahili toka vidudu mpaka chuo kikuu tungekuwa mbali kimaendeleo. Kizazi cha waliosoma enzi hizo ndio wametia hasara taifa letu na kufilisi viwanda na maamuzi ya ovyo kabisa kutokana athari ya kusoma elimu ya kukariri pekee na sio kuelewa.Kuna ukweli mkubwa. Tatizo ni makuzi yetu na elimu yetu.
Mtu anapata elimu kubwa lakini kufikiri kiduchu hata ku construnct a complete and useful idea ni tatizo kwa wengi.
Mashuleni siku hizi hakuna utungaji/composition writing. Wanafunzi wana copy na pest. Vijana wengi wanajihangaisha zaidi na mipira na mambo ya vijiweni. Smart phones nazo zinazidi kutuharibu
Ukweli lipo tatizo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app