Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Unaweza ukawa na siasa safi na utawala bora lakini maendeleo yasipatikane kutokana na wananchi kugoma kushirikiana na viongozi, wananchi wakiamua wenyewe kuleta maendeleo wanaweza mfano mkoa wa Kilimanjaro maendeleo yalianza kabla ya Uhuru.So maendeleo huletwa na nani?Katika moja ya vitu ambavyo Baba wa taifa alisisitiza ili tupate maendeleo,alitaja vinne;
-Watu
-Ardhi
-Utawala bora
-Siasa safi
Hapo moja kwa moja utawala bora na siasa safi vinaungana kupinga uzi wako hapa!Unless unamuona mwalimu naye alikuwa kama hivyo ulivyotaja!
Kingereza hakina uhusiano kabisa na matatzo y kitanzania...Ukisoma kingereza kwanzia vidudu..hakutakua na shida kuelewa ukiingia levels nyingine...ni lugha ya kimataifa,au unadhania ukiingia hizo nchi ulizozitaja utaongea lugha gani kama sio Kingereza??..au kisambaa?? lol
Hata wao walikuwa na viongozi wao wa kimila!Unaweza ukawa na siasa safi na utawala bora lakini maendeleo yasipatikane kutokana na wananchi kugoma kushirikiana na viongozi, wananchi wakiamua wenyewe kuleta maendeleo wanaweza mfano mkoa wa Kilimanjaro maendeleo yalianza kabla ya Uhuru.
Kilimanjaro kila kaya ilishindana na nyingine kuendeleza kaya yake, hakuna ushahidi wa machifu kuendeleza maeneo.Hata wao walikuwa na viongozi wao wa kimila!
Je USA yapo ?Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.
Ni matatizo ya kibinadamu.
Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.
Kwenye maendeleo ya kaya basi kiongozi wa kaya atahusika,kwenye maendeleo ya jamii fulani basi viongozi wa hiyo jamii wapo,kwenye maendeleo ya nchi basi kuna viongozi lazima wahusike!Kilimanjaro kila kaya ilishindana na nyingine kuendeleza kaya yake, hakuna ushahidi wa machifu kuendeleza maeneo.
True, mfano ni USA. Kuna wajinga sana na wapumbavu sana huko. Mmojawapo ni toto ambalo ni kiongozi wao sasa, Donald nawenzie. Japo TULIANZA vizuri kwa MALEZI BORA ya kutupelekea TUJIELEWE chini ya DIRA ya Baba wa Taifa (RIP JKN) HUJUMA pamoja na U-SWAHILI na SIASA CHAFU are also culprits. Kiswahili kigumu sana. Chezea USWAHILI wewe utajikuta ni MPUMBAVU sana.Nchi nyingi tu hapa duniani hayo matatizo yapo.
Ni matatizo ya kibinadamu.
Hivyo, watu wasidhani hayo matatizo ni mahsusi tu kwa Tanzania na Watanzania wake.