Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Nawaza tu
Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia.
Sababu za kushindwa CDM na wenzake ni:
* Viongozi wa vyama vyao kutokuwa na misimamo (mfano mara kadhaa husikika wakisema kuwa hawatashiriki chaguzi)
* Muda unaomalizika hawakiwa na mitaji ya viongozi;
* Vyama hivyo kuwa na uwezo mdogo wa kifedha na vitendeakazi.
Ushauri:-
* Vyama vyote baada ya uchaguzi huu viunde chama kimoja cha CCM.
- Uchaguzi huu CCM atapata 95%
- CDM itapata 2%
- CUF itapata 1%
- ACT itapata 2%