4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Umehongwa , uchaguzi na kilicho siri nje ya uchaguzi kinajulika , maccm walitaka fanya chama flani kuwa chama kikuu cha upinzani kupitia vibaraka wao wachache ndani ya chama husikaMimi nawashangaa upinzani kushiriki huu ujinga halafu baadae waanze kulaumu kwenye vyombo vya habari.